Match loaalding
Yanga fc vs Mbeya City
Uwanja:Mkapa Stadium
Time:10:00pm
Joto:25c
Humidity:normal
Rainfall:no,70%
Nakuletea updates LiVe
Kiingilio:
Mabanda umiza: 500Tsh
Bar:Soda au any drinks...
Simba sc imekubari kuthaminiwa kwa mil 888 kwa mwaka pesa hizi ni ndogo sana ni tamaa tu ya viongozi wa Simba sc,naipongeza Yanga isikubari uzamini mdogo kama huu wa mil 888 kwa mwaka pesa ambayo...
Jana wakati Simba wanasaini mkataba wa Udhamini na SportPesa nimemuona Haji Manara akifanya kazi ya U-AfisaHabari na Mawasiliano.
Je ile adhabu aliyopewa ya kufungiwa kutokujihusisha na masuala ya...
Ni mpambano wa Ligi kuu Vodacom... mpambano ndio umeanza dak ya 6....
======
UPDATES
======
Dk 1, Yanga imeanza kwa kasi ikiwa imepania kufunga bao la mapema
Dk 4, krosi nzuri ya Niyonzima...
Moja ya mechi muhimu na iliyokuwa na maajabu mengi katika historia ya dunia basi ni World Cup 1950 kati ya Brazil vs Uruguay
Finali hii ilipigwa katika dimba maracana huko brazili
Ni fainali...
Yanga ni klabu kongwe katika Tanzania.Imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Tanzania Kwa mara 25. Pamoja Na kuwa klabu kongwe lakini haina Rekodi ya kujivunia kimataifa zaidi ta kushuriki tu Ni aibu Kwa...
Wekendu wa msimbazi leo wameingia mkataba na kampuni ya kubetisha ya SPORTPESA kwa
ajili ya udhamini katika ligi kuu bara kuanzia msimu ujao.
Simba imeingia mkataba wa miaka mitano wenye thamani...
Hata mimi ningetafuta maneno mazuri kujitetea sababu ya kummwaga.
Tatizo lake ni la kitabia kwahiyo atachemka popote pale.
Tabia yako wakati tunapambana unatajataja kuhama ni kosa kwa De Gea...
Mpira ni Dakika Dakika ya 17, Simba 0-1 Stend United.
Dak ya 24 Simba 1-1 Stend United
Simba 2-1 Stend United Juma Luizio tena .
********************
Mpira Mapumziko
******************
Kipindi...
Mwisho alikuwa ni mchezaji wa yanga hatimae Pan African ya Dar. Alitokea Tumbaku ya Morogoro akiwa pamoja na akina Shillingi na Hussein Ngulungu.
Nilikuwa ninamsikia redioni Enzi hizo wakati...
RIPOTI MAALUM Ufisadi wa kutisha TFF-4
www.ippmedia.com/sw/habari/ripoti-maalum-ufisadi-wa-kutisha-tff-4
Pia ilielezwa changamoto ya ukosefu wa mwongozo wa utendaji na utoaji ajira uliosababisha...
Hizi taarifa zimetoka Club ya Randers Fc alipoenda kufanya majaribio kijana wetu Mkata Umeme anayekipiga Club ya Azam Fc.
Chanzo cha habari kinazidi kudadavua zaidi kuwa Randers wamesema Himid...
Baada ya mechi ya Juventus vs Barcelona katika dimba la Camp Nou kuisha ,kocha wa Juve alihojiwa na waandishi wa habari akasema alipoingia Andrea Barzagli alijua mechi ndio ishaisha hapo maana...