bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Hizi taarifa zimetoka Club ya Randers Fc alipoenda kufanya majaribio kijana wetu Mkata Umeme anayekipiga Club ya Azam Fc.
Chanzo cha habari kinazidi kudadavua zaidi kuwa Randers wamesema Himid Mao sio kiungo wanayemtaka kwa sasa japo anakipaji kikubwa sana labda baadhi ya Viungo waliopo kwa sasa kama mmoja wapo ataondoka baaasi wanaweza peana mkataba na Mao.
Ushauri Kijana wetu asikate tamaa anajua mpira nafasi yake itakuja aendelee na Nidhamu yake nje na ndani ya uwanja pamoja na mazoezi ya kutosha.