Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Yanga ni klabu kongwe katika Tanzania.Imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Tanzania Kwa mara 25. Pamoja Na kuwa klabu kongwe lakini haina Rekodi ya kujivunia kimataifa zaidi ta kushuriki tu Ni aibu Kwa Klabu kama Yanga.Tp Mazembe imeundwa hivi karibuni lakini Mafanikio yake Makubwa imecheza Fainali ya kombe la Klabu bingwa la Dunia.