Ligi Kuu Soka Tanzania Bara: Simba 2 vs Stand United1

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,285
38,363
Mpira ni Dakika Dakika ya 17, Simba 0-1 Stend United.

Dak ya 24 Simba 1-1 Stend United

Simba 2-1 Stend United Juma Luizio tena .
********************
Mpira Mapumziko
******************
Kipindi cha pili kimeanza dak 47 Bado simba yupo mbele kwa 2-1.

MPIRA UMEKWISHA
********************
Simba 2-1 Stend United
************************

Naona wenye timu mmekata tamaa, msijali tutawawakilisha.
 
Simba wanapata goli dakika 24, Simba 1-1 Stend United
 
Mpira ni Dakika Dakika ya 17, Simba 0-1 Stend United.

Dak ya 24 Simba 1-1 Stend United

Simba 2-1 Stend United Juma Luizio tena .

Twende pamoja.

Naona wenye timu mmekata tamaa, msijali tutawawakilisha.
Ahsante mzalendo wa ukweli
 
Back
Top Bottom