Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Mechi ishaanza, Atletico Madrid anaongoza goli 2 bila dhidi ya Real Madrid.
Game ni kali2 Atletico 0 Madrid
Agg 2:3
Atletico inabidi asiruhusu goliWacha wafeeee Tyari yangeyange kashawekwa 2 wapi mmoroko mzee wa offside
Kweli mkuu na inapaswa aongezeAtletico inabidi asiruhusu goli
Wapitie kule kwa DaniloKweli mkuu na inapaswa aongeze
Ya Raby Taqabal Du'aGame itaisha 2-2
Hata atletico nayo ni MadridEeeh Mungu saidia Mardid,Amen.