Haji Manara bado ni AfisaHabari wa Simba..!!?

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,719
1,782
Jana wakati Simba wanasaini mkataba wa Udhamini na SportPesa nimemuona Haji Manara akifanya kazi ya U-AfisaHabari na Mawasiliano.
Je ile adhabu aliyopewa ya kufungiwa kutokujihusisha na masuala ya michezo kwa mwaka mzima ikoje..!?

Karibuni kutiririka
 
Simba hawajui sheria, ndio maana walipeleka malalamiko bila ada TFF wakawapiga chini ........sasa Manara sijui hajui maana ya kufungiwa...
 
Jana wakati Simba wanasaini mkataba wa Udhamini na SportPesa nimemuona Haji Manara akifanya kazi ya U-AfisaHabari na Mawasiliano.
Je ile adhabu aliyopewa ya kufungiwa kutokujihusisha na masuala ya michezo kwa mwaka mzima ikoje..!?

Karibuni kutiririka

Kuna TAHADHARI niliitoa jana katika 'uzi ' fulani hivi juu ya hicho Kitendo na naomba niirudie tena kwa kusema kuwa naiona kwa mbali sana ' adhabu ' ya Haji Manara kuwa extended kutoka mwaka huo mmoja hadi miaka saba ili amfikie ' Swahiba ' wake Wakili ' maarufu ' Damas Ndumbaro. Na kinachonisikitisha ni kwamba Uongozi wa Simba SC hata haushtuki na unaona poa tu.

Haji Manara akubali tu adhabu na ' atusubirie ' au ' tukutane ' nae mwakani. Mbona mwenzie Jerry Muro alikubali yaishe?
 
Wanasema huyu ndiye aliyechukua nafasi yake baada ya Hajji Manara kufungiwa. Dada mtu hakuwepo siku hiyo kwani nyumba yake ilizingirwa na mafuriko huko Mbagala.
FB_IMG_1493732499924.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Ftc
Back
Top Bottom