Fedor von Bock
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,321
- 2,155
HakikaAliufanya mchezo wa soka uonekane mwepesi sana. Nashukuru Mungu nimeishi zama za Gauchi na Messi.
Kabisa Mkuu, zama hizi ni zama tamu sana. Zama ambazo Messi tunamshuhudia anaweka mipira wavuni vile apendavyo yeye, haangalii uzito wa mabeki wala makipa, anafanya vile atakavyo yeye. Bernabeu na Etihad wanajua habari za huyu mtu.Aliufanya mchezo wa soka uonekane mwepesi sana. Nashukuru Mungu nimeishi zama za Gauchi na Messi.
Kabisa Mkuu, zama hizi ni zama tamu sana. Zama ambazo Messi tunamshuhudia anaweka mipira wavuni vile apendavyo yeye, haangalii uzito wa mabeki wala makipa, anafanya vile atakavyo yeye. Bernabeu na Etihad wanajua habari za huyu mtu.