Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,655
Simba sc imekubari kuthaminiwa kwa mil 888 kwa mwaka pesa hizi ni ndogo sana ni tamaa tu ya viongozi wa Simba sc,naipongeza Yanga isikubari uzamini mdogo kama huu wa mil 888 kwa mwaka pesa ambayo ni ya kulipa mishahara tu wachezaji kwa ukubwa wa Yanga na Simba sc sio wa kupewa uzamini wa mil 888 kwa mwaka pesa ambazo Wana weza kuzipata kwa mapato ya ndani
Mfano Simba na Yanga kwa mwezi inauwezo wa kuingiza mil 100 kama zikijipanga vizuri kwa njia zifuatazo
1:kulinda hatimiliki ya logo ya club na kuwatoza wote wanaotumia nembo Hii
2:matangazo Mfano timu za ulaya hadi kitu cha club kinatangazo linaloingizia club pato
3:ada ya wanachama
4esa za kiingilio
5:kujiboresha katika social networks Mfano Instagram,fb na twitter ili wapate matangazo
Nk: