Kuna ubishi kidogo wa mchezo wa Jana kati ya man u vs celta Vigo, msaada jamani.

Kuna jamaa wanapinga kwa hoja kwamba zingeongezwa dkk 30 kwasababu man u kapata gori ktk viwanja vyote. Uwanja wa celta alipata bao 1 na uwanja wake kapata gori pia
hapana, sheria za uefa pindi mnapolingana kwa mabao baada ya mechi mbili zote kuchezwa, hiyo namaanisha nyumbani na ugenini. Kinachofata huwa wanaangalia nani kafungwa magoli mengi nyumbani ili kumuondosha kwenye michuano wakati wa mtoano.
 
Ingekuwaje kama matokeo ya mwisho Celts Vigo angeshinda 2 kwa 1. Je angefuza au zingeongezwa dkk 30. Wataaam wa sheria za mpira tusaidie.

Ni kama alivyokwambia mkuu apo...celta de vigo wangepita kwa kuwa baina ya hao Wawili MAN-U angekuwa ameruhusu magoli mengi(mawili) ya ugenini kuliko mwenzie,TAKE REAL EXAMPLE KWENYE UEFA-MSIMU HUU BAINA YA MAN-CITY NA MONACO KWENYE MTOANO...WOTE WALIKUWA NA IDADI SAWA YA MAGOLI HIVYO HATA AGGREGATES NI SAWA PIA LAKINI CITY AKAWA KNOCKED-OUT!
 
There is no such a thing. Jana Kama Celta wangetupia bao la pili, aibu ingekuwa kwa Mourinho na negative tactics zake
 
Nashukuru sana kwa majibu yenu wana michezo..jumuisho la swali letu Celta Vigo angepita kutokana na idadi ya magoli alopata ugenini.
 
Sheria ya mabao mawili ugenini wengi inawashinda kutafsiri, sheria hii huwa ni baada ya mechi ya marudiano kama mabao yanakuwa sawa kwa sawa mfano 4-4 basi yanaangaliwa yaliyofungwa ugenini ndiyo yanapasuka. Kwa hiyo juzi kama Celta Vigo wangefunga la pili ingesomeka 2-2 kwa hiyo Celta Vigo angesonga mbele kwa mabao yao mawili ya ugenini.

Kungezwa dakika

Dakika 30 zingeongezwa kama Celta Vigo wangeshinda kwa bao moja ingekuwa sare kwa kila kitu kwa maana mabo yote yangekuwa ya ugenini la Man alilopata kule na Celta Vigo kama wangefunga hapo mtanange ungeongezewa dakika 30
 
Back
Top Bottom