Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Katibu wake Selesitin Msigwa wakosa dhamana

isackkallindi

Member
Jan 10, 2014
25
21
Malinzi, Mwesigwa na Nsiana wamesomewa mashtaka 28.

Kughushi waraka wa kamati ya utendaji ulioonyesha kuwa EXCOM imeridhia kubadilishwa kwa Signatories wa Bank, hii inamhusu Malinzi na Mwesigwa pia.

Kufoji risiti za kuwa Malinzi anaidai TFF (risiti zipo zaidi 20 zinazodaiwa kufojiwa) hii inamhusu Malinzi pekee.

Na Mwisho ni shtaka la kutakatisha fedha dola za kimarekani 375418 hii inamhusu Malinzi, Mwesigwa na Nsian.

Kutokana na makosa hayo wamekoswa dhamana
 
"kutokana na makosa hayo WAMEKOSWA dhamana"

aisee haya mkuu wamekoswa dhamana
 
Uchaguzi ukipita na kesi zinafutika, lengo ni asigombee urais wa TFF japo naamini hawa jamaa ni wapigaji, lakini naona hapa nia ni kumtoa kwenye urais na sio kumfunga, na ndio maana yanatokea wakati huu.

Kama namuona vile Ally Mayayi Tembele huko aliko, kweli hakuna aijuaye kesho.
 
Back
Top Bottom