Tanzania yatinga Robo fainali COSAFA

Ni baada ya kutoka sare ya bao 1- 1 na timu ya Mauritius huku Angola ambao
walikuwa wanafukuzana nao kwa karibu wakitoka sare ya bila kufungana na
Malawi. Mechi ya Robo fainali watakutana na SOUTH AFRICA. Kila laheri Vijana.
How the F can you draw with Mauritius?? No offense to Mauritius ila na sisi bado sana! Tuwe wakweli tu.
 
Ni baada ya kutoka sare ya bao 1- 1 na timu ya Mauritius huku Angola ambao
walikuwa wanafukuzana nao kwa karibu wakitoka sare ya bila kufungana na
Malawi. Mechi ya Robo fainali watakutana na SOUTH AFRICA. Kila laheri Vijana.
Hii Inaonyesha Malinzi Alikuwa Amekalia Mafanikio Ya Timu yetu Don't Panick Jiulize Y Tangu Aswekwe huko Mambo yananyooka ?
 
Ni baada ya kutoka sare ya bao 1- 1 na timu ya Mauritius huku Angola ambao
walikuwa wanafukuzana nao kwa karibu wakitoka sare ya bila kufungana na
Malawi. Mechi ya Robo fainali watakutana na SOUTH AFRICA. Kila laheri Vijana.

Ila ukumbuke tu kwamba ' Vikosi ' vya wenzetu wote huko ni vya Vijana watupu na wanawajaribu wakati sisi Tanzania hapo ndipo tumemaliza hadi akiba yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom