Straika anaekabwa na watu 5

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Simba noma sana aisee
TIMU YA MAGAZETI
19554135_831588617001520_5415811265167959767_n.jpeg
 
Mpira wa bongo ukiufatilia kwenye gazeti unaweza amini timu zake zikikutana na barcelona, barca italazwa hata week 1, ngoja msimu uishe sasa mshambuliaji anabeba golden boot na magoli 15!!:D..
 
Sasa ulitaka hao unaowaita mbumbumbu wafanye nini ilihali wewe unawaona mbumbumbu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom