Tuachane na filamu ya Malinzi na Mwesigwa wake

olekamaru

Member
Jun 23, 2017
76
73
Bila shaka jamali malinzi ndio kashapotea kwenye soka Kwa namna tuliyoiona wote.swala LA msingi mbele yetu sasa ni kuhusu nani anafaa.katika wagombea waliobakia nani MTU sahihi anaefaa kuwa rais wa tff miongoni mwa wagombea waliobakia.hofu kuu iliyotanda ni usimba na uyanga miongoni mwa wagombea.binafsi yangu Mimi ally mayai tembele hatufai na sababu yangu ni kuwa ni pandikizi LA kikundi flani hivi ambacho sijui wanataka nini pale tff.pili mwakalebela hatufai mana huyu ni mwanasiasa huku anakuja kupoteza mda tu akisubiri 2020 arudi kwenye siasa.nn maoni yako mdau??tuchangie bila jazba
 
ungetuambia Ali kapandikizwa na nani
 
ungetuambia Ali kapandikizwa na nani
Ni maoni tuu.kipindi cha sports extra kimeibuka na kuwa na ushawishi mkubwa sana ndan ya soka LA tz.wao ndio wapo front tembele awe rais na akishinda mshauri wake atakuwa shafii dauda.hilo lipo wazi only time will tell
 
Wewe nawe ulieleta hii mada, nadhani utakuwa unatamiwa na madega, kwa yani mtu hafai sababu tu alienda kwenye siasa. Mbona madega hujamtaja hunahabari nae yupo kwenye siasa, Ally Mayai hujaeleza sababu za kutofaa kwa kweke. Na kwa taarifa yako tu tukitaka kuuzika Usimba na Uyanga wa wazi basi wapi kati ya Ally na Mwakalabela.
 
unaamini shafii anauwezo wa kumpandikiza Ali?
 
Wewe nawe ulieleta hii mada, nadhani utakuwa unatamiwa na madega, kwa yani mtu hafai sababu tu alienda kwenye siasa. Mbona madega hujamtaja hunahabari nae yupo kwenye siasa, Ally Mayai hujaeleza sababu za kutofaa kwa kweke. Na kwa taarifa yako tu tukitaka kuuzika Usimba na Uyanga wa wazi basi wapi kati ya Ally na Mwakalabela.
Mkuu ni maoni tuu mm sio Tim madega na ningekua mpiga kura nisingempa kura yangu.nimesema tembele hatufai mana sports extra wanapambana kufa na kupona awe rais ili dauda apate nafas mle ndani.wewe unaona nani anatufaa??hiyo ndio hoja kuuu
 
kumbuka kuwa hata shaffih ni mgombea
 
Sawa mkuu ally mayai yuko freshi mapenz ya yanga na simba weka pemben
Ally atakua fresh tuu kama akifanya kazi independently bilA hao wanaompigia debe ili wapewe nafas humo.shafii ni MTU wa mpira but sometimes tamaa nyingi kwenye baadhi ya vitu
 
Back
Top Bottom