Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

“Yanga ni klabu ya Mpira wa Miguu, hatuna kazi yoyote zaidi ya kucheza Mpira wa miguu hivyo endapo matakwa yetu yatasikilizwa na kufanyiwa kazi mbungi itapigwa June 15” Ali Kamwe, Meneja Habari na...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
HUYU BWANA ananshangza sanaa YAAN achrlewajo KULAMBA matapishi yake na BODI yake Majuzi tu MGUTTO kauhojiwa vipi kuhusu derby kajibu Haina shida tushatoa ratiba na HATA hao WANASEMA hawachezi...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
1) madrid mbovu kuiona japokuwa ilitumia pesa ndefu kusajili 2)manchester united mbovu kuiona maishani mwangu 3)man city kuhangaikia top 4 4)barcelona kujenga tim kwa haraka zaidi 5)inter milan...
11 Reactions
63 Replies
5K Views
Mbwembwe zoote, ujuaji woote, majigambo yoote, hatimae sarakasi zoote za "HATUCHEZI NG'OO" kifo Cha mende. Wenye akili walisema,huko ni kujifaragua tu kisa unajiona mkubwa kumbe watoto Wana kuzidi...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Waliosema hadi Kuapia Mizimu na Miungu yao sasa wanajiandaa kuja na Press Conference ya Kuwaambia Mashabkiki zao kuwa baada ya Kikoa na Maelewano baina yao na waliokuwa Wanatunishiana Misuli na...
1 Reactions
8 Replies
700 Views
I wil be short hiki kikaoo cha Yanga ndo hatima ya kibarua cha ally kamwe, yani majibu yakitoka ya ajabu kazi hana. mwakani atafute kazi ya kufanya , wana yanga wapo moto wana sikiliza...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Hadi waarabu hawamtaki CR7 ? Hili swali ndio linatrend uko duniani How comes arabs kick out CR7 Niitaandika siku nyingine lkn kupitia ronaldo tujifunze kuheshimu wakati Mtumbuizaji mahiri...
10 Reactions
72 Replies
4K Views
MGUTO:SALA ZA WATANZANIA ZINAHITAJIKA ILI MGOGORO UISHE SALAMA. ‎Kuelekea kwenye kikao ambacho Yanga ameitwa na viongozi wa bodi ya ligi kuu kujadili hatma ya mchezo wa dabi ya Kariakoo...
3 Reactions
21 Replies
896 Views
Kwanza nawapongeza bodi ya ligi Kwa hatua ya kuwaita Yanga na kuwasikiliza rasimi. Bodi ya ligi ndo ilifanya makosa na kukaa kwenye janjajanja ya Simba aliyetumia Karia kukimbia mechi Kama TFF...
0 Reactions
2 Replies
602 Views
✈️⚽ Aliyekosolewa sana Tanzania kwa maamuzi yaliyozigharimu klabu kongwe nchini Tanzania Simba vs Yanga sasa amepata heshima ya dunia! Dahane Beida atua Marekani kwa ajili ya Kombe la Dunia la...
2 Reactions
3 Replies
473 Views
Kumbe ndiyo maana Mchezaji wa mwisho kupokea Mshahara mdogo Simba SC Chasambi Ladack anapokea Shilingi Milioni 17 kwa Mwezi huku Wachezaji wengine wote wa Simba SC wanapokea Mishahara ya kati ya...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna watu baada ya kununua mechi fulani walikuwa wanazodoa wenzao kwa kusema tarehe 5 goli 5. Ghafla bila kutarajia, Ubaya Ubwela umefanya kazi yake, na karma imewarudia. Tarehe 15 wanaenda...
1 Reactions
12 Replies
629 Views
[emoji599] Bodi ya ligi imeandika barua kwenda kwa Rais wa Yanga Eng. Heris,na wajumbe wote wa kamati ya utendaji ya Yanga ili kufanya kikao maalum cha kujadili mechi namba 184 kati ya Simba na...
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Inakuaje yeye acheze kwenye timu yenye mpunga mrefu na ambayo ni rahisi kuonekana zaidi kwenye soko , halafu eti Feisal Salum na Kibu Denis wabaki kwenye ligi hii iliyojaa ubabaishaji. Kwa...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Ukizingatia wenye mamlaka Wana assets zao , ukizingatia historia ya nchi ilivyo na inavyohusisha timu hizo mbili... Na ukizingatia yoyote Yale NI BORA IFUTWE TUUUU ILI KU BALANCE MZANI WA...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Niliposema mara mbili JF kuwa hakuna mwana Yanga SC wa kushindana na AMRI ya Serikali ya CCM hamkunielewa au?
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Sio Tanzania niliyoizoea hii, Tanzania nayoijua inapokaribia Derby Talk of the town huwa ni Simba na Yanga. Tena hii derby inayokaribia imejaa ukakasi kama itachezwa au lah, kuna kiu ya kuona TFF...
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Hizi kampeni zinafanana kwa kiasi kikubwa sana na ndiyo zinepamba moto nchini Tanzania. Kutokana na kufanana huko, upande mmoja unaweza ukaagizwa na mamlaka kuachana na HATUCHEZI ikiwa ni hali ya...
9 Reactions
13 Replies
779 Views
Unaweza kuchukulia masihara kuhusiana na msimamo wa mashabiki wa yanga lakini jambo hili linaweza kuhatarisha usalama wa nchi kwa namna uadui unavyokua kila siku. Nafikiria jambo sahihi...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Iwapo yanga atapeleka timu uwanjani kucheza na simba yafuatayo yatatokea. Yanga watacheza Kwa nguvu na pressure kubwa na rafu nyingi kupelekea kuadhibiwa Kwa kadi za njano nyingi. Kuna uwezekano...
1 Reactions
4 Replies
855 Views
Back
Top Bottom