Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Katika kanuni za TFF, CAF na hadi FIFA, hakuna kipengele kinachosema kuwa mechi inakamilika iwapo tu kutakuwa na mashabiki jukwaani. Hizi nguvu mnazotumia kusema eti mechi isitangazwe, tiketi...
1 Reactions
80 Replies
3K Views
Viongozi wa matawi ya Yanga wataketi kesho 5 June, kujadili msimamo wao wa kutokucheza mchezo wa Derby Simba wakiwaza mziki wa Mzize, Dube, Pacome, Max 😅😂 na beki wao ndo Che maloni na Chamou na...
10 Reactions
51 Replies
2K Views
HUYU N Mwenyekiti WA kamati ya WAAMUZI Nasoro hamduni wiki iliyopita kahojiwa mbona watu wanalalamika sana kwa WAAMUZI mbona hamuwaadhibu Akajibu hawana mazoea ya kutangaza ADHABU za WAAMUZI...
5 Reactions
15 Replies
789 Views
Mama kasema tusicheze na ninyi mikia mna tabia mbaya. Mna tabia chafu hatuchezi na ninyi. Na huko hatuji. Hatutaki mna mchezo mbaya. HATUCHEZI, HATUCHEZI NA HATUCHEZI NA NINYI NG'OOOO HATA...
1 Reactions
3 Replies
491 Views
Ndugu WanaJF, Karibuni kwenye uzi maalum wa klabu yetu ya Singida Big Stars. Kupitia uzi huu mtafahamu masuala mengi kuhusu klabu yetu ambayo ni mgeni wa Ligi Kuu Tanzania Bara na msimu huu ukiwa...
9 Reactions
52 Replies
5K Views
Wanachama na wapenzi wa Yanga hawatawaelewa kabisa. Kwanza Simba, Tff na Bodi ya ligi watakuwa wanawacheka na kuwapiga vijembe kuwa ndio maana mlikuwa mnaogopa kucheza. wakati huo wachambuzi wa...
3 Reactions
11 Replies
697 Views
Mwaka wa nne hatuna hata kombe la kahawa na tumeambulia vichapo vikali kutoka Kwa watani wetu Yanga Goli 5 na kufungwa mechi 5 halafu mbumbumbu wenzangu mmekua mbumbumbu kiasi kwamba tulikua...
5 Reactions
105 Replies
2K Views
Kucheza mpira sio kigezo cha kufanya uwe msela sijui tomboy hiyo haikubaliki. Wachezaji wanawake afrika nje na ndani ya uwanja. Wachezaji wa kike ulaya ndani na nje ya uwanja. Badilikeni
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Nazani Bodi ya ligi haitaweza kuipokonya Yanga points 15 na kuishusha daraja,na endapo ikitokea hivo Nchi nzima itakuwa kwenye fujo Barabara na Magari kuchomwa moto. Vita ya Ushabiki ni vita...
6 Reactions
14 Replies
769 Views
Wazee wa Yanga SC wameomba isitokee chombo cha Habari chochote kikatangaza ama kufanya promotion ya mchezo wa Juni 15 na kuitaja Yanga SC. Wazee pia wamesema isitokee Kiongozi wao akapeleka kwani...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
[emoji599] HERRI SASII amefungiwa miezi sita (6) kuchezesha mechi kutokana na kutolimudu na kushindwa kutafsiri sheria 17 za mchezo wa soka kwenye mechi ya Simba dhidi ya Singida. Kwann wanapaswa...
7 Reactions
64 Replies
2K Views
Wakuu, Hakika ngoma ya watoto haikeshi, "ubaya ubwela" ni msemo uliokuwa umeenea kote hasa kwa wapenda soka nchini Ulienea sana kutokana na mfululizo wa matokeo ya ushindi ya Simba SC hasa katika...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Mwamuzi wa kati wa mchezo tajwa hapo juu, Henry Sasi amefungiwa miezi sita (6) kwa kosa la kushindwa kumudu mchezo huo baada ya kufanya maamuzi mengi yaliyoashiria kushindwa kutafsiri sheria 17 za...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
1. Mzaramo 2. Mandala 3. Kisugu 4. G64 5. Friji Bovu Hawasemi ukweli na hawajui mambo ya Kiufundi, ila wanachojua ni Kudanganya, Propaganda na kujikomba kwa Tajiri na Uongozi ili wawe katika...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Kwa east afrika na afrika kwa ujumla hakuna nchi itakua na miundombinu bora ya mpira wa miguu kama Tanzania Mtoto wa uganda, kenya, Congo, Rwanda atakua na ndoto za kuja kucheza mpira Tanzania...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Hii itasaidia sana kwa viongozi wa Tff na Bodi ya ligi kuzingatia kanunu na haki. Yanga msicheze
0 Reactions
4 Replies
393 Views
Huu ni uzi maalumu kwa klabu hizi kubwa Tanzania,ambazo ni Yanga,Simba na Azam, tumeamua kuuita huu uzi kuwa ni watani wa jadi. Kwa vile unahusisha klabu kubwa kongwe,Yanga na Simba,na kwa vile...
4 Reactions
15 Replies
778 Views
Hii sio meme, ndio hali halisi, Kama hata Singida walishinda 3 tena kwa huruma ya Refa kupunguza magoli, jambo la msingi ni kuwaombe Yanga washikilie msimamo wao "HATUCHEZI" vinginevyo kuna aibu...
0 Reactions
3 Replies
335 Views
Kama ulikata Tiketi yako ya Kielektroniki ile Mechi ya Awali itunze kwani hiyo hiyo utaingia nayo Mechi ya tarehe 15 June.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom