Tanzania hatujawahi kushinda mchezo wowote katika kushiriki kwetu afcon. Kwa ufupi nimiongoni mwa timu dhaifu sana katika mashindano ya AFCON zilizopita.
Pamoja na unyonge huo tunatakiwa...
Baada ya kukwaa visiki Kila waendako TFF&BODI YA LIGI, CAS na HATIMAYE MAHAKAMA KUWAFURUSHA hapo Jana. Viongozi wa Yanga wamejiandaa na kubadili gia angani Huku wakitarajia muda wowote Ule...
Naomba niwasanue..
Kampuni ya Paripesa inawatumia akina Sativa17. Ipo hivi: wanapewa mamilioni ya pesa na kampuni, wanasukiwa mikeka ya uongo(japo mara chache husika ya ukweli) Kisha Wana stake...
Mpaka sasa Tanzania 0 na Madagascar 1
Kama Madagascar watatulia wana nafasi ya kuongeza tena goli. Tuendelee kuombeana.
Mpira umekwisha na Stars anapasuka
Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka...
06 June 2025
Peter Mokaba Stadium
Pietersburg (Polokwane)
South Africa
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' kinatarajiwa kuingia uwanjani leo kuvaana na Afrika Kusini...
Mungu ni Mkuu.
Pale unapopambana ufanikiwe ili umtukane jirani yako .
Kiuhalisia Kombe la Shirikisho Caf mwk huu lilikuwa la Simba ila kutokana na Kiburi , kufuru , dhihaka na ulimbukeni Mungu...
Hizi chuprichupri huwa hazifikagi mbali,sasa hivi wanavyolilia points 3 za mezani utadhani sio GSM aliyekuwa anadhamini zaidi ya timu 8, na mipango yote nye ya uwanja bado mnaogopa kupeleka timu...
Kama YANGA hawatoandaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!!
Hii movie ni Kali sana 🙌🏻🙌🏻
Kituo Cha Utangazaji Cha Dream Media Kinachomiliki Dream Fm Na Dream Online Tv Kimezindua Mashindano Ya Dream Inter College Super Cup Yenye Lengo La Kuinua Vipaji Kwa Wanafunzi Walioko Vyuoni...
FEISAL SALUMU "FEITOTO" KIWANGO ALICHO ONYESHA KIPINDI CHA PILI DHIDI YA BAFANA BAFANA KIMESABABISHA JINA LAKE LIIMBWE HUKO AFRIKA KUSINI.
WENGINE WANASEMA WAO WANA ALLENDE SISI TUTAKUWA NA...
Mpira ulizaliwa ulaya na umeendelea kutunzwa na kuhifadhiwa na wazungu wenyewe huku wakiangalia vituko na maigizo kutoka pande zingine za dunia
Hapo kesho
Portugal ya Ronaldo itataka kumpa...
Tottenham wamefukuza kazi kocha wao mkuu Ange Postecoglou licha ya kuwa ndiye aliyekomesha ukame wa miaka 17 wa mataji kwa kuipa klabu hiyo ubingwa wa Europa League mwezi Mei.
Thomas Frank ndiye...
Klabu ya Simba imeadhibiwa kwa kutozwa faini ya Sh. 5,000,000 (milioni tano) kwa kosa la mashabiki wake kurusha chupa za maji uwanjani wakati wa mchezo tajwa hapo juu kwenye uwanja wa KMC Complex...
Yanga wameshasema hawachezi, wengine wanasema wanadanganya na wengine wanasema wako serious kwa sababu hadi leo hakuna tiketi zinazouzwa, wengine wanaona Yanga wameanza mazoezi mapema na hivyo...
Ukiiongelea ligi ya Tanzania mwaka 2020-2022 hutaacha kuongelea umahiri wa Waamuzi mahiri na wa kutegemewa kipindi hicho wakiongozwa na Hery Sasii. Sasii alikuwa mwamuzi makini na aliyetegemewa...
Janjajanja zina Mwisho wake, Ubaya ubwela unaendelea kufanya kazi, watu walikusanya ushahidi wakapeleka FIFA
Hapa takukuru na TFF wangefunika kombe
Soma hiyo screenshot hapo chini ndo utaelewa...
Yani Ile faulo ya mpanzu mchambuzi anaona ni ya kawaida na anaitetea!?
Huyu kazi na mwenzake ni Bora wamestafu maana nje ya hapo wangeleta shida sana ya maamuzi kuliko hata Tatu Malogo
Nimeshangazwa na aina na kiwango cha adhabu ambacho kimetolewa hivi karibuni na Bodi ya Ligi dhidi ya mchezaji wa Singida BS Jonathan Sowah na kocha wa viungo wa Simba.
Kocha wa viungo wa Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.