Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Arusha, tumeona maendeleo, Benjani tumeona maboresho, Dom mbona hata ramani hatuoni?
3 Reactions
4 Replies
707 Views
“Ni kweli tulipokea barua ya wito Juni 7 na leo tumeshiriki kikao kama tulivyoombwa na bodi ya Ligi kwenye kikao hiki maalum ambacho hakikuwa cha maandalizi ya mechi bali ni kujadili sintofahamu...
3 Reactions
57 Replies
4K Views
Hivi karibuni watu walilalamika michezo ya Yanga kununua mechi na kuhonga wachezaji,kila mtu alikaa kimya na leo hii tunaona upuuzi unaoendelea... TFF na mamlaka nyingine za mambo ya Rushwa pia...
1 Reactions
16 Replies
766 Views
Wakuu hii vita ni mbichi Kuna mambo mengi kwenye mpira wetu hawa yanga mbona kama wanajua mambo mengi kuhusu TFF? === Tumeona taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF kuwa inaidai...
6 Reactions
61 Replies
4K Views
Yani hii Yanga imezidi tambo sana wanatumia upepo mbaya wa Simba kucheza na akili za mashabiki wao ila niwaambie kitu SISI PEOPLE TUTAKUTANA
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Sijui kuhusu maeneo mengine ya nchi ila kwa Dar nimepitia kwenye mabanda mengi hali ni mbaya sana.Lugha ya matusi imekuwa kama sehemu ya kusheherekea mchezo.Mbaya zaidi unakuta hapo ndani kuna...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Mashindano ya kukimbia yanayojulikana kwa jina la Msakuzi Marathon yatafanyika ndani ya Msitu wa Hifadhi wa Pande uliopo Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, Julai 12, 2025 ambapo washiriki...
0 Reactions
1 Replies
468 Views
Kwani mchezaji wa kigeni anapaswa alipiwe ada na timu yake kwa TFF kwa kipindi gani tokea asajiliwe? Haiingii akilini TFF ikubaliane na Yanga eti italipia wachezaji wake wa kigeni inapochukua...
3 Reactions
6 Replies
584 Views
Ndugu wapenzi wa mpira, hasa wa Tanzania,kama mnakumbuka wakati JPM anaingia madarakani alibaini madudu makubwa sana kuhusu ukwepaji wa Kodi uliokuwa unafanyika Tanzania.Miongoni mwa kampuni...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Bank ya CRDB na TFF imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitatu na nusu na CRDB itatoa shilingi Bilioni 3.76 kwa kipindi chote cha miaka mitatu na nusu, ila msimu huu watatoa dollars laki moja...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi damu ila nahamia simba Huku Yanga utapeli mtupu majungu kila kesi tunashindwa simba mnipokee
3 Reactions
8 Replies
478 Views
MSIMAMO WA YANGA (TAIFA KUBWA) 👉Zipi sababu za kuahirisha mchezo wa kwanza wa dabi ya Simba na Yanga tarehe 8 Machi 2025. 👉Kwa nini bodi ya ligi wamepanga mchezo mwingine bila suluhisho la...
4 Reactions
12 Replies
788 Views
Nimefuatilia vizuri hizi barua kwa uelewa wangu nimegundua kwamba nyumamwiko kuna mchezo wanacheze wa na watu waliowaamini kwenye club yao. Team ina udhamini, jezi, viingilio, bonus za kushiriki...
1 Reactions
7 Replies
582 Views
Leo nimeona niamke na Neno la Uzima. Natumaini litaenda kuwabariki wasomaji wengi. Moja ya tabia mbaya ambazo mtu unaweza kuhusishwa nazo ni tabia ya kueneza fitna. Ni moja ya nguzo za shetani...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Kutoka kwa Dr. Simon Paul Gidufanaa "Yanga SC wanasema wao ndiyo wanaidai TFF TSH 226 MILLION BAHATI MBAYA SANA kwenye hizo Hesabu hapo Yanga SC wamesema Ubingwa wa CRDB Confederation Cup Msimu...
3 Reactions
13 Replies
919 Views
Baada ya Yanga kutoa tamko lao la hawatacheza mechi mpaka matakwa yao yatakapofanyiwa kazi, Simba nao ni kama wanasubiri Yanga isilete Timu tarehe 15, ili adai point 3 za mezani... na hasipopewa...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Hii game⚽ ni ya moto sana usipange kuikosa. huku Yamal kule Ronald. Lineups _ Portugal substitutes N.semendo,A.silva,D.dalot,J.palhinha,G.ramos,D.jota,R.neves,J.felix....nk Manager ...
14 Reactions
244 Replies
10K Views
Napenda kuwajuza waandishi wa Habari, yasipofanyiwa kazi matakwa yetu matatu kwa uharaka, Young Africans SC hatutakuwa tayari kucheza mchezo namba 184, mechi zote mbili za Ligi zilizobaki na...
9 Reactions
197 Replies
7K Views
Nimeona watu wanahangaika sana na kupoteza pesa nyingi bila kupata mshindo kwenye betting. Iga mifano kwa wanao jua. nini siri ya mafanikio yao? Ukishaipata siri hyo, nidokeze na mimi, kwa sababu...
3 Reactions
24 Replies
11K Views
Back
Top Bottom