Derby: viongozi wa Yanga kuitwa kesho

Derby: viongozi wa Yanga kuitwa kesho

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,011
Reaction score
32,907
[emoji599] Bodi ya ligi imeandika barua kwenda kwa Rais wa Yanga Eng. Heris,na wajumbe wote wa kamati ya utendaji ya Yanga ili kufanya kikao maalum cha kujadili mechi namba 184 kati ya Simba na Yanga.

Kikao hicho maalum kimepangwa kufanyika juni 9/2025,saa 4 asubuhi kwenye ukumbi wa mikutano wa Bodi ya ligi,uliopo Ilala Dar es Salaam. Ikumbukwe hadi sasa Rais wa Yanga yuko Marekani kushuhudia fainali za FIFA Club World Cup.

[emoji599] #OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
View attachment 3360420
 
Unazingua sasa mkuu...
 
No Resign No Play.
 
Hii mechi kivyovyote lazima waipush ichezwe kuja kulevo kidogo mambo mana moto ulowaka saivi sio poa
 
Iwea hivi mkuu
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]
#OKTOBATUNATIKI[emoji736][emoji736]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kweli hii ni nchi ya watu masikini na dhiki ndiyo uzalendo, sijawahi ona support ya watawala Kwa Uzi uliopostiwa kwenye simu ya maana. Ila mtoa Uzi na watumia tecno wenzio mkobize kuunga mkono makandokando
Mkuu Kwani Tecno Ina symbolize nn

Back
Top Bottom