Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kama kuna ujinga wa kiwango cha juu,ni pale unapolazimika kubeba madhambi ya mtu mmoja ambaye ametumia nafasi yake kufanya uhuni kwenye soka ambalo watu wamewekeza mabilioni ya kutosha. Unaacha...
2 Reactions
5 Replies
434 Views
Misimu mitatu bingwa hajawai lipwa....Yanga hatuchezi hata huko Zanzibar
0 Reactions
4 Replies
220 Views
99.9999% ya Kiburi cha Yanga SC na Jeuri ya Yanga SC ni kutokana na Watajwa hapa juu (wenye Ushawishi mkubwa kwa Rais Samia, Serikali na Chama Cha Mapinduzi) kuwa nyuma yao. GENTAMYCINE nina...
-3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kama yanga itasusa ligi ya Tanzania msimu ujao haya ni madhara yatatokea, 1. Kupoteza umaarufu wa ligi: Yanga ni moja ya timu maarufu na zenye mashabiki wengi nchini Tanzania na Africa Kwa ujumla...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Ni wazi kuwa timu ya Yanga wameamua kuwaunga chadema kwenye kampeni yao na hii itakuwa kuna watu wanawafadhili...kwa kuwa ukiangalia kwa undani slogan yao ya HATUCHEZI NG'O ni kama ya chadema...
1 Reactions
6 Replies
453 Views
Tutakuwa watu wa porojo tu na kuuwacha ukwel yanga na simba zinapokutana mpira wao wote huchezwa nje kwa ushirikina kinachokwenda pale ni kukamilisha ratiba kwenye macho ya watu. Wewe kataa au...
1 Reactions
16 Replies
772 Views
Ukiisikiliza hoja za yanga Kuna baadhi zina maslahi Kwa mpira wetu na zingine hazina maslahi kwa mpira bali zina maslahi Kwa timu yao, nafikiria kama kiongozi mkubwa wa serikali aliwaamuru walinzi...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Jana nilisikia ikisemwa kuwa kuna kiongozi wa serikali alipiga simu siku ya tarehe 7 Simba walizuiwa kuingia kwa sababu kiongozi mkubwa alimwamuru meneja wa uwanja asifungue geti. Hans...
1 Reactions
0 Replies
271 Views
Kumekucha, mjini kumechangamka! 😂⚽ Klabu ya Simba inatoa taarifa kwa Wanachama, Wapenzi, na Umma kuwa mchezo nambari 184 dhidi ya Yanga uliopangwa kufanyika tarehe 15/6/2025 upo kama...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Press ya Yanga muda huu, Pamoja na kuendelea kugomea mechi ya Derby ya Tar 15 June 2025, msemaji amesema hawatacheza mechi ya fainali iwapo hawatalipwa pesa za ushindi wa kombe la CRDB la msimu...
12 Reactions
91 Replies
6K Views
Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi kuu nchini Tanzania Almas Kasongo amesema kuwa kikao cha leo kilikuwa ni kikao cha kupokea matakwa ya Yanga Sc ambao wamekuja na matakwa manne ikiwa ni...
6 Reactions
58 Replies
4K Views
Kampuni ya TECNO inayotoa matoleo mbalimbali ya simu za kisasa smartphone, imetangaza kuimarisha Uhusiano wake na shirikisho la Soka (CAF) kwa kuwa mshirika Rasmi wa kimataifa wa TotalEnergies...
1 Reactions
1 Replies
400 Views
TAARIFA KWA UMΜΑ JUNI 09, 2025 Uongozi wa Young Africans Sports Club, unapenda kuutarifu umma kuwa, tarehe 7 Juni, 2025 tulipokea barua kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria...
14 Reactions
110 Replies
5K Views
Ukiwasikiliza hata wanaotoa maoni ya kushauri nini kifanyike utawasikia wakisema Yanga ni kubwa Simba ni kubwa.Hapa tayari ndio mzizi mkuu wa tatizo. Kama Watu wana hofu kuwa Yanga wakipokwa...
3 Reactions
10 Replies
566 Views
Mashindanoa ya FIFA kombe la dunia la wanawake litaanza kesho Alhamisi July 20, 2023 na kumalizika August 2nd. Round za kwanza zitachezwa Sydney, Australia na Auckland, New Zealand huku fainali...
6 Reactions
223 Replies
13K Views
Tanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8...
11 Reactions
85 Replies
3K Views
Msimamo uwe huo huo hamchezi,Msipeleke timu uwanjani Simba tupo kimya kuna kitu tunataka kujifunza. Msipocheza baada ya Tar 15 tusipopata points za bure au msipokatwa points tutaenda kudai huko...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Bodi ya ligi kuu tanzania bara TPLB imekutana na viongozi wa yanga Leo asubuhi kujadili hatma ya mchezo nambari 184 ulioahirishwa Tarehe 8 mwezi march mwaka huu kutokana na sababu ambazo Bado...
1 Reactions
4 Replies
645 Views
Back
Top Bottom