Wachezaji wa Simba hii tabia kawafundisha nani?

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,833
Kumbe mibwabwa!!!!!
 

Attachments

  • IMG-20150212-WA0003.jpg
    IMG-20150212-WA0003.jpg
    31.7 KB · Views: 89
Mpaka muda huu Yanga wamechanganyikiwa wanaongea na kupost uzushi kila mahali wakidhani utawasaidia,kuna uzushi nimeukuta mahali unasema refa aliyecheza lipuli na Simba afungiwa na Tff jina la refa ni oden mbaga wakichanganya na habari ya kufungiwa kwa mbaga na Fifa,wakati refa aliyechezesha mechi hiyo ni mwingine kabisa,kifupi vyura akili zimewaruka hususani wakisikia msemo #KilaMtuAshindeMechiZake maana wanajua baada ya hilo kufanyika hakuna hata haja ya kukaa mezani na kupiga hesabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom