Anthony Joshua na Mayweather haitotokea wakapigana

Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
1,537
2,000
Mmoja heavyweight mwengine middleweight. Labda wakapiganie WWE.
 
Ochumeraa

JF-Expert Member
May 18, 2015
4,203
2,000
Title ipo kwenye mfumo Wa statement halafu maelezo yapo kwenye mfumo Wa swali......Lowasa Arudi nyumbani
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
20,201
2,000
Wanaweza wakapigana.

Joshua ni heavyweight contender kwamba ana uzito wa kuanzia kilo 90 na kuendelea. Floyd ni middleweight ana kilo zisizozidi 80.

Kwa sheria na taratibu za taasisi ya ngumi duniani hawa hawawezi kupigana kwakua kila mmoja ana mkanda wa levo yake na hawalingani.

Ila kupigana kwao kunaweza kutokea endapo itakua ni mechi ya charity. Yaani kiingilio chote kitapelekwa kuwasaidia watu wenye uhitaji.

Na mara nyingi mechi za hivi hua na raundi chache.
Ila miaka ya zamani hata mechi za hivi zilikua na raundi nyingi, mfano Jack Johnson na Stanley Ketchel.
Johnson alikua heavyweight na Ketchel alikua middleweight. Ketchel alitaka pambano liwe na raundi 45 ila Johnson akasema liwe na raundi 20.

Ukiachilia exhibition match wanaweza kupigana mfano mmoja akamchukulia mwenzie demu au wakakutana bar wakagombana. Hapo itabidi wapigane.
 
Salt Bae

Senior Member
Jan 9, 2019
140
250

Kwani haiwezekani mmoja kuongeza ama kupunguza kilo ili wapigane?
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
20,201
2,000
Kwani haiwezekani mmoja kuongeza ama kupunguza kilo ili wapigane?
Inawezekana.

Kuna hadi mabondia waliowahi kufanya hivyo, Kevin Duran alifanya hivyo.

Ila jua kua Mayweather mwenye kilo 105 hawezi kua Mayweather mwenye kilo 78. Agility, speed vitapungua.

Mwili utamuelemea. Ni kwamba mtu A ni rahisi kumfuata mtu B kuliko mtu D.

Hivyo labda wakubaliane kukutana kwenye light heavyweight na siyo heavyweight ya Joshua.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom