Ushauri wa bure kwa Timu zinazocheza na Yanga SC hebu acheni basi Kutujaza Upepo kuwa mnaweza halafu mwishowe mnafungwa nyie

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Huwa nachukia sana Viongozi wa Timu za Ligi Kuu ambazo huwa zinacheza na Yanga SC. Kabla ya Mechi zao na Yanga SC utawasikia wanajitapa na kutamba kabisa hadi kutupa Moyo Sisi tusiowapenda Yanga SC na matokeo yake baada ya dakika 90 za mchezo Wao ndiyo huwa wanafungwa.

Niwaombeni tu nyie Viongozi wa hizi Timu ambazo huwa zinacheza na Yanga SC kwamba acheni ' Kutujambisha / Kutujaza Upepo ' kwa Kutuaminisha kuwa ama ' mtaidindia ' Yanga SC au mtaifunga na matokeo yake nyie ndiyo huwa mnakuja Kufungwa tena mnafungwa Magoli ya Kipumbavu na Kizembe kabisa mwishowe mnabaki Kutukera tu Sisi Wanasimba ambao mara nyingi huwa tunakuwa nyuma yenu.

Siku zijazo tutaomba mnapokuwa mnatuaminisha kuwa mtaifunga Yanga SC basi muwe mnaingia Makubaliano ya Kupigwa na Sisi Mashabiki wa Simba SC endapo mtakuwa mnafungwa na Yanga SC kwani mnatusababishia Usumbufu mkubwa hasa wa Kisaikolojia na Hasara kubwa tu. Kwa mfano pale mnapokuwa mnatuhakikishia kuwa mtaifunga Yanga SC Sisi wengine ( Wana Simba SC ) huwa tunadiriki hata Kuharibu ratiba zetu za kwenda ' Kutiana ' na Mademu zetu na Hela zote tunazitumia katika Viingilio vya Uwanjani au Vibanda Umiza pamoja na ' Kubetia ' mwisho wa Siku mnafungwa ' Kipopoma Kipopoma ' na Kutuachia ' Machungu ' makubwa Mioyoni mwetu.

Naomba tabia hii iwe mwanzo na mwisho tafadhalini sawa? Timu pekee ambayo ina Jeuri ya Kuiambia Yanga SC kuwa itafungwa ni Simba SC tu pekee hasa kupitia Kwake Meddie Kagere ila Timu zingine zote muwe mnanyamaza tu ili hata mkifungwa tusiwa tunawalaumu kivile bali tutakuwa tunawapeni tu pole zenu. Narudia tena mnachotukera Sisi Wana Simba SC ambao mara nyingi huwa tunakuwa nyuma yenu Kiushangiliaji ni kwamba huwa mnafungwa Magoli ya Kipuuzi kabisa ambayo hata Timu zetu za Mitaani tu haziwezi Kufungwa hivyo.

Mnatukera na Kutuudhi vile vile. Badilikeni!

Nawasilisha.
 
balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
9,332

Kuwa mnakuwa nyuma yao mkiwafanya kama Yale ya Kalauds FM ama huwa mnanusanusa nnya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom