Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nataka nijiridhishe nione kama nafasi yetu ya kusonga mbele bado ipo .
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Nipo kwenye screen naangalia mech ya Simba na soura, Half time ,soura anaongoza kagoli kamoja, lakini mnyama wa mwituni bado anawinda, atamkamata tu mwarabu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mfano ndani ya miaka mitano tukiwa tumefanikisha kujenga academy kwenye kila mkoa, vijana wa kike na wa kiume kutoka kwenye mkoa husika watajiunga na hizo academies, watalipa ada ambayo...
4 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanza poleni lunyasi. Pamoja na kupokea kichapo toka kwa J.S. Saoura bado mna nafasi kubwa ya kufuzu na kuingia robo fainali. Katika kundi lenu mnapishana kidogo sana. Mfano timu ya kwanza ina...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wawakilishi pekee Tanzania na Afrika Mashariki na mabingwa wa Nchi, Simba SC, Mnyama wanatarajiwa kuondoka jioni hii kwenda nchini Algeria kupitia Dubai, UAE, kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa...
9 Reactions
171 Replies
17K Views
VIP MNYAMA ATACHOMOKA NA FIRST ELEVEN HII?! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
35 Replies
5K Views
In short Mechi ni half time huko Kinshasa matokeo bila bila... Wanasimba tuombe tu matokeo yawe hivyo hivyo ama as Vita wafungwe ingawa waarabu wanaonekana kuzidiwa kabisa hapa, wanakaba tu! Simba...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Nipo kwenye screen naangalia mech ya Simba na soura, Half time ,soura anaongoza kagoli kamoja, lakini mnyama wa mwituni bado anawinda, atamkamata tu mwarabu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
811 Views
DUA ZOTE KWA MNYAMA KUPATA MATOKEO MAZURI LEO[emoji120][emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Bado sijaelewa vigezo ambavyo AS ROMA wametumia kumteua Ranieri
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Shirikisho la soka barani ulaya limemaliza utata wa penalti ulitokea kwenye mechi ya mtoano kati ya Man United na PSG na kusema kwamba penalti ilikuwa stahiki. Mpira ulipigwa na diego dolot na...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Huyu chalii ya arusha imepigwa bao, pamoja na gharama kubwa sana mauzo Yale, namuona anapagawa, juzi baada ya kibano alitoa povu kibao akidai , .....'this a disgrace. They put four people that...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Habarini wakuu, nataka kujilipua kwa kutandika mikeka ya milioni 1 Naomba mtaalamu anisaidie, kitakachopatikana kama nitafanikiwa basi mgao utakuwa 60% kwa 40% Kama tutakosa hana lawama kwangu ni...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Mbunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewalipia viingilio mashabiki wa soka katika jimbo hilo kwaajili ya kushuhudia mchezo wa Ligi...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Emmanuel Amunike alikuwa mmoja ya wachezaji wazuri wa naijeria miaka ile ya 90 mnyakyusa huyu na wenzake akina amokachi,george finidi,rashid yekin n.k Sijajua kwa nini alidhani kuwa mbora katika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nani atasonga hapo..
0 Reactions
97 Replies
12K Views
Mimi Kama mdau wa soka ninaumia Sana kuona mambo yanavyoendeshwa shaghalabaghala na Tff. Tff Kama wasimamizi wakuu wa Mpira wetu, nadiriki kusema wameshindwa kuusimamia badala ya kutupereka mbele...
9 Reactions
10 Replies
3K Views
Head coach wa team ya taifa Tanzania, Amunike ametangaza list ya wachezaji 25 ambao watatuwakilisha katika pambano dhidi ya Uganda kwenye AFCON 2019. Wapo wachezaji makini sana amewachagua akiwemo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
RATIBA YA FA HATUA YA ROBO FAINAL *ALLIANCE vs YANGA *KAGERA SUGAR vs AZAM *KMC vs AFRICAN LYON *LIPUL vs SINGIDA UNITED *** NUSU FAINAL <*>LIPUL/SINGIDA UNITED vs ALIANCE/YANGA <*>KMC/AFRICAN...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Back
Top Bottom