Mtanzania kuichezea timu ya Madison FC ya nchini Marekani

Mathayo Fungo

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
312
1,000
Klabu ya Minnesota United ya Marekani imetangaza kumsajili Mtanzania Ally Hamis Ng'anzi (18) kwa mkopo wa mwaka mmoja kukiwa na uwezekano wa kumnunua kutoka Klabu MFK Vyskov ya nchini Czech. Kiungo huyo ataichezea Forward Madison FC ya Marekani msimu ujao. Hongera sana kwa kijana wetu. . . .tunaamini hatotuangusha

VITALS
Ally Hamis Ng’anzi
Position: Midfield
Date of Birth: Sept. 3, 2000
Height: 5’11”
Weight: 160
Birthplace: Mwanza, Tanzania
Hometown: Dar es Salaam
Citizenship: Tanzania

Tembelea link hii kwa taarifa zaidi
Tanzanian Ally Hamis Ng'Anzi Joins MNUFC
 

Attachments

  • File size
    1.7 MB
    Views
    14

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom