Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Boss wa Pyramid awaahidi wachezaji wa timu yake milioni 500 kwa kila goli litakalofugwa na pia atatoa bilioni 20 endapo Pyramid itafanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga Fc
1 Reactions
50 Replies
5K Views
Team C R vipi. Mambo ya kusubiri pass ya kumalizia leo yanakwama kwa CR.Torino sio mchezo. Na penat ya wazi Juv wamebebwa na ref
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni dakika kadhaa zilizopita, Canelo kafanikiwa kumpiga Kovalev kwa KO Round ya 11 baada ya kumpiga clear hook na kumdondosha. Kovalev alikuwa akishikiria mkanda wa WBO kwenye uzito wa Light...
1 Reactions
2 Replies
692 Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL inatarajia kurindima leo kunako dimba la Kambarage Shinyanga ambapo wenyeji Mwadui FC, wanawakaribisha Mabingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama...
6 Reactions
314 Replies
25K Views
Vpl imeendelea leo katika viwanja vitatu, katika hali isiyo tarajiwa wale walio toboa tundu wamejikuta wakiangukia pua kwa wanna kamwene na hivyo kuleta ahueni pale msimbazi.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mmexico anayeaminika kuwa ni no1 pound-4-pound duniani kwa sasa leo atapanda ulingoni kutwangana na Kovalev; bingwa anayeshikilia mkanda wa WBO kwenye uzito wa Light Heavyweight. Endapo Canelo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kinachoiangusha Yanga ni kutofanya usajili wa maana. Wachezaji waliowasajili wengi hawana viwango kabisa. Igeni mfano wa jirani zenu wa Simba na Azam, wanapocheza utafurahi kabisa. Mchezaji...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau wa michezo yote hapa karibuni,kama umewahi shuhudia kituko cha aina yeyote uwanjani ambacho kilikuwacha mdomo wazi tushare pamoja jukwaa lichangamke kidogo...Mimi niliwahi shuhudia mchezaji...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Anaseme kwamba.... " Pyramids FC ni timu ya kawaida sana, haina hadhi kwa Yanga SC wala uwezo wowote wa Kuifunga Yanga SC na ni moja ya Timu nyepesi kuliko Timu zote ambazo Yanga SC imewahi...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Utofauti mkubwa wa wachezaji hawa huwa upo wazi lakini watu wanaletaga ushabiki mbele badala ya uhalisia. Siku zote mtu mpime nini anafanya uwanjani...halafu linganisha na huyo mwingine nini...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Kumbe Mpira huwa mnaujua sasa kwanini kila Msimu wa Ligi huwa mnapumulia tu Mashine huku mkiwa hatarini Kushuka daraja na badala yake mnabaki tu Kusumbua Waamuzi kwa ‘ Kuwahonga ‘ Pesa zenu kidogo...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
KIJUE CHANZO CHA MANENO "BALL BOY" NA "CLEAN SHEET" ☆Mwaka 1905,tajiri mmoja wa jiji la London huko England,alieitwa Gus Mears alianzisha klabu yake ya soka alioiita Chelsea Football Club.Klabu...
4 Reactions
4 Replies
3K Views
Tukutane tarehe 30 pale, huyu Noah a.k.a Kai ndiye anayetetea ubingwa mwaka huu,mabaunsa na body builders wote tuwahi kujiandikisha pale bado siku chache tu muda unaishaaaa.
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Ingekuwa amri yangu hii sheria ya VAR ningeifutilia mbali kwani inalalamikiwa sana na haitendi haki kabisa. Wapi uliona mpira unaamuliwa kwa video refarii? Inapunguza msisimUko wa soka. FIFA...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hawa jamaa awako kwa ajili ya yanga wakati wachezaji wanakufa njaaa viongozi wanakaa vikao vingi wakilipana bila sababu Alipoulizwa kwanini mnakaa vikao vinavyovunja katiba yenu anakwambia tuna...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini wakuu! Mimi napenda sana magame ya high graphics yani ukilicheza unahisi kama vile movie au ni kweli kabisa. Magame ni mengi sana sikuizi. Sasa naombeni mtaje magame ambayo ni HD mazuri...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Victor Joseph ameshinda kweye ule mpambano wa Golf kule Thika nchini Kenya. Hongera sana kwa kupeperusha bendera ya Tanzania. Well done, pamoja na timu ya kinadada kule Uganda what a bonus.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Najua Leo watu wengi mmempa nafasi kubwa chelsea kushinda dhidi ya man u game ya Leo ya carabao.Ukiangalia vikosi vyote viwili Chelsea ana kikosi Bora kuliko man u pia hata form yao pia ni nzuri...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
msaada wa tactics na ujanja wa ku-win betting mimi ni mgeni wa hii michezo nifanyeje au niwe na nini chakunisaidia sio fans sana wa mpira kwaio ila naona nijalibu hii michezo nione kama ntaboa!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huyu Zahera uropokaji wake utai-cost timu. Anaonesha dharau za wazi kwa mashabiki; wasipokuwa makini, huyu mtu ataua hamasa yote viongozi wanayoipigania. Ikumbukwe kuwa 90% ya usajili huu pesa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom