CR hamna kitu leo

wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,647
2,946
Team C R vipi. Mambo ya kusubiri pass ya kumalizia leo yanakwama kwa CR.Torino sio mchezo.

Na penat ya wazi Juv wamebebwa na ref
 
Mpira ndiyo kwanza HT...ungevumilia kidogo mpira uishe

Japo kiukweli nyota ya CR7 sio kali kama ilivyokuwa
 
".........Mnasahau andunje kaisaidia timu yake kuibuka na ushindi mnono"
 
Back
Top Bottom