Canelo ampiga Kovalev kwa KO

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,793
15,693
Ni dakika kadhaa zilizopita, Canelo kafanikiwa kumpiga Kovalev kwa KO Round ya 11 baada ya kumpiga clear hook na kumdondosha. Kovalev alikuwa akishikiria mkanda wa WBO kwenye uzito wa Light Heavyweight, ambapo Canelo alilazimika kupanda weight ili kumchalenji
 
Ongeza nyama.
I.e wamepigana wapi, mapromota, watu mashuhuri waliohudhuria pambano n.k
 
Ongeza nyama.
I.e wamepigana wapi, mapromota, watu mashuhuri waliohudhuria pambano n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom