Vituko uwanjani...

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,662
7,745
Wadau wa michezo yote hapa karibuni,kama umewahi shuhudia kituko cha aina yeyote uwanjani ambacho kilikuwacha mdomo wazi tushare pamoja jukwaa lichangamke kidogo...Mimi niliwahi shuhudia mchezaji wakati anacheza mpira buktaikamuanguka...Dah! Hatari sana
 
Miaka ya nyuma tulimshuhudia Mze Akilimali akinya mchana kweupe na kufukia kinyesi chake pale uwanja wa Taifa....waliompiga picha hawakuambulia kitu kwani ziliungua zote. Cha kushangaza sasa, Yanga walilamba kichapo toka kwa Simba.
 
Duh!
 
Simeone Diego Atletico vs Madrid alionyesha kuwakatikia mauno kuelekea......kibra.
 
Wadau wa michezo yote hapa karibuni,kama umewahi shuhudia kituko cha aina yeyote uwanjani ambacho kilikuwacha mdomo wazi tushare pamoja jukwaa lichangamke kidogo...Mimi niliwahi shuhudia mchezaji wakati anacheza mpira buktaikamuanguka...Dah! Hatari sana
alishenena?
 
Wakat nackiliza uchambuz redioni jana(mechi yenyewe sijaiona) nikackia kua ktk moja ya Red card yajana ktk mechi ya Alayansi na Mbeya cty nijamaa alidondoka chini akat yupo chini akamshika mchezaji wa timu pinzani P** mbu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom