Leo Chelsea wanafungwa na Manchester United

innocent dependent

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Messages
1,992
Points
2,000

innocent dependent

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2019
1,992 2,000
Najua Leo watu wengi mmempa nafasi kubwa chelsea kushinda dhidi ya man u game ya Leo ya carabao.Ukiangalia vikosi vyote viwili Chelsea ana kikosi Bora kuliko man u pia hata form yao pia ni nzuri huku man u yupo na alitete.

Kati ya watu waliosema Chelsea atashinda me ni mmoja wapo lakini baada ya kusikia kauli ya lampard kwenye press conference kwamba atachezesha wachezaji wengi ambao hawapo kwenye first eleven yake Kwa maana nyingine wachezaji ambao hawapi nafasi watacheza leo Kama kauli ameongea kwakumaanisha au anatudanganya basi ameonesha hayupo serious na kombe la carabao.

Kutokana na hiyo kauli ya lampard nimebadilisha mawazo yangu naona Chelsea atapigwa na man u leo.
 

Forum statistics

Threads 1,380,606
Members 525,831
Posts 33,775,149
Top