Yanga angalieni hili kwa jicho la tatu

kishumbaz

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
912
1,252
Huyu Zahera uropokaji wake utai-cost timu. Anaonesha dharau za wazi kwa mashabiki; wasipokuwa makini, huyu mtu ataua hamasa yote viongozi wanayoipigania.

Ikumbukwe kuwa 90% ya usajili huu pesa zimechangwa na wanachama.
 
Anachofanya Zahera ni kutoa Elimu ili Mashabiki wa Yanga wasiwe na akili kama za Mbumbumbu mikia, na bahati nzuri mashabiki wa Yanga wanamuelewa. Sikuzote Zahera anaongea ukweli wewe ukinuna shauriyako amia kwa wanaopakwa mafuta kwa mgongo wa Chupa.
 
Yanga tukiwa uwanjani tunacheza mfumo gani mkuu??
Anachofanya Zahera ni kutoa Elimu ili Mashabiki wa Yanga wasiwe na akili kama za Mbumbumbu mikia, na bahati nzuri mashabiki wa Yanga wanamuelewa. Sikuzote Zahera anaongea ukweli wewe ukinuna shauriyako amia kwa wanaopakwa mafuta kwa mgongo wa Chupa.
Samahani lakini
 
Yanga tukiwa uwanjani tunacheza mfumo gani mkuu??Samahani lakini
Tatizo letu ndio lina anzia hapo, tangulini mfumo ukacheza mpira? Mfumo ni maumbo na mashabiki wengi wasichojua kocha si lazima afatishe umbo lolote unalolijua wewe, Kocha anatengeneza umbo kulingana ba timu anayo cheza anayo. Tena kwa apa kwetu kusema kocha fulani anatumia umbile la 4-4-2 n.k ni uongo wachezaji wengi katika Ukanda wetu hawezi kucheza katika maumbo, ili kucheza katika umbo mhusika anatakiwa kwanza yeye mchezaji awe fit 100% awe anajua wakati wa kushambulia au wakati wa kuzuia yeye atakua wapi na anafanya nini, Anatakiwa kujua mpinzani anatatizo wapi na wao wana nguvu wapi, anatakiwa kujua shepu ya umbo la timu yao wakati wa kushambulia timu yake inabaki na shep gani na kunusa hatari zote.
Kwa ujumla Timu inatengeneza mfumo/umbo kulingana na uwezo wa anaye cheza naye.
Mambo ya kuambiana timu yenu inacheza mfumo fulani kwa mpira wetu ni uongo 100% ila Makocha wanawapanga wachezaji kimaumbo ila si kucheza.

Inaweza ukawa hujanielewa ivi mfano Afcon iliyopita Sisi Tanzani tungecheza mfumo/umbo gani kuwa kabili Argelia au Senegal yaani wakina Farid wakacheze kimfumo na Argelia au Senegal kinacho fanyika kwa makocha ni kutengeneza umbile lolote la kupunguza kasi ya wanao Jua kucheza iyo mifumo/ maumbile na ukifanikiwa ndio unatafuta Matokeo.
 
Anachofanya Zahera ni kutoa Elimu ili Mashabiki wa Yanga wasiwe na akili kama za Mbumbumbu mikia, na bahati nzuri mashabiki wa Yanga wanamuelewa. Sikuzote Zahera anaongea ukweli wewe ukinuna shauriyako amia kwa wanaopakwa mafuta kwa mgongo wa Chupa.

Nakuona tu unavyotumia nguvu kubwa kumtetea Mwinyi Zahera! Lakini ukweli utabaki pale pale! Mwinyi Zahera hana maono yoyote yale ya kuifikisha Yanga kwenye kilele cha mafanikio kama ilivyotokea enzi za akina babu Hans Van Der Pluijm, Lwandamina nk.

Kocha yoyote yule mzuri huwajali na kuwalinda wachezaji wake waliomsaidia kupata mafanikio, kubakia kwenye timu! huku akiongeza wachezaji bora wachache tu kwa ajili ya kujaza mapengo aliyoyagundua baada ya ligi kufikia tamati. Sasa huyo Mwinyi Zahera wako hana sifa hiyo!

Amekubali wachezaji wazuri wengi mfano Makambo, Gadiel Michael, Benno Kakolanya, nk kuondoka kwenye timu, huku akisajili wachezaji wengi wa kawaida na wasio na msaada mkubwa kwenye timu! Hivyo kubali tu ukweli, huyo Mwinyi Zahera wako ni bomu linalosubiria tu kulipuka. Kiufupi tu HANA JIPYA! Aondoke zake tu.
 
Makambo kwa Pesa aliyo nunuliwa kutoka Lupopo kuja Yanga dola 15,000/= nimwendawazimu pekee ambaye Angekataa dola 100, 0000/=za Horoya tena mwishoni mwa msimu, wakati uongozi ilikua haujakaa sawa tena umekuta madeni na ata fedha ya kusajili timu Mpya hawajui waitoe wapi. Unajua fedha ya Makambo imesajili wangapi?
Timu imeshindwa kumpa fedha anayotaka Gardiel Michael , Ajibu Amemaliza mkataba Simba wameshampa kishika uchumba, Tp Mazembe wamesha mtangazia mshahara wa ajabu Sisi Tunasubili kubwa kuliko ndio tusajili ivi ao wachezaji unawafanya watoto hawaelewi kuwa klabu inaukata?
Ishu ya Kakolanya bila Zahera kuweka msimamo wachezaji wengi wangegoma kama yeye. Timu ilikua hainafedha Zahera alikua anachezana saikolojia tu, ilikua lazima Kakolanya asimamishwe ili wengine wasigome.Wachezaji wange goma nafasi ya pili Yanga wangeisikia redion.
 
Kiukweli msimu uliopita tulienenda kwa neema ya Mungu tu, mambo yalikuwa si mambo
 
Back
Top Bottom