Ukandarasi huu.....ukizidiwa na tumbo au kama ni mlemavu sijui inakuaje hapa... hapo hata kuweka miguu katika hali ya kawaida ukiwa kwenye starehe ile ya kuwa mahali kama hapa inakuwa tabu tupu!!!
Ni mchezo ambao unaweza kukusababishia fedheha, ajali na ulemavu wa maisha!!!
Zingatia kujikinga
Weka afya vyema hata kama hali ya kipato si nzuri sana...
wadau Michigan wafurahia Summer huko Cedar Point
baadhi ya wanajumuiya wa Michigan katika matembezi hayo
Ankal,
Jumamosi Jumuiya ya Watanzania michigan TAMI iliandaa siku ya...