Inakuaje ukizidiwa hapa....?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inakuaje ukizidiwa hapa....??

Discussion in 'Jamii Photos' started by ngoshwe, Jun 29, 2010.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ukandarasi huu.....ukizidiwa na tumbo au kama ni mlemavu sijui inakuaje hapa... hapo hata kuweka miguu katika hali ya kawaida ukiwa kwenye starehe ile ya kuwa mahali kama hapa inakuwa tabu tupu!!!

  [​IMG][​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,442
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Penye nia pana njia mkuu,ukitingwa na ile kitu lazima kitaeleweka tu kwa njia yoyote. Kama ni mlemavu anaweza kuachia mzigo hata hapo kwenye ngazi baadae 'mesenja' akaupeleka unakopaswa kwenda.
   
 3. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unapanda ngazi pole pole kwa mwendo wa kunyata huku ukijibana uzuri usije haribu kabla ya kufika. koh koh nlitaka kucheka nkapaliwa lol!
   
 4. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  HIVI NGOSHWE HUWA UNAWAZA NINI?Mh,.KAMA SIO PHOTO SHOP BASI HIYO ITAKAKUWA NI ULAYA TU,..DU nimecheka ile mbaya
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  hii kali kweli choo kiko juu kama kwenye gorofa? ukiwa kilema si utamaliza haja yako japo chini tu. wahusika watakuja kusafisha tu.Vyoo vya ulaya unalipia hata ukichafuwa utakikuta kisafi powa tu.
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Duh hapo kweli karaha badala ya raha:mmph:
   
 7. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kuna watu huwa hawapendi vyoo vya kukaa kwa kuhofia magonjwa, hiyo ni kwamba unamaliza huku umesimama, badala ya kulazimisha kuchuchumaa kama ilivyokuwa vyoo vya pale UDSM, ukiingia unaona alama ya viatu juu ya choo cha kukaa.
   
 8. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mkuu umenikumbusha mbali..jamaa yangu mmoja Mama Mkwe wake alikuwa hataki kutumia choo cha ndani cha design hii akidai kuwa hawezi kabisa "kukaa hapo juu ambapo mkwewe nae anaweka makalio yake". Kwake inakuwa ni kumvunjia heshima sana mkwewe kwa mujibu wa mila na desturi za kibantu..sasa shida inakuwa kwa nyumba za kupanga siku mama mkwe akija kukutembelea, inabidi akajisaidie kwa jirani!!!.

  Hapo UDSM vyoo hivi vilipigiwa kelele sana kuwa vinakiuka haki za walemavu hasa pale unapokuwa mtu kawanga haja ndogo chini ya sakafu..hapapitiki kabisa kwa walemavu kama ilivyo kwa sasa pale NMB Morogoro Road ambapo mapokezi (huduma kwa wateja ipo angalini na nahuna lifti kwa walemabu kufika). Hii ipo pia kwa baadhi ya ofisi za Mawizara ya Serikali ambapo unakuta Ofisi ya waziri na Katibu Mkuu wake zipo ghorofani na hakuna lifti kuwezesha walemavu kumwona mtendaji Mkuu wa Wizara husika kirahisi.
   
 9. Q

  Qadhi JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baadhi ya wasomi wa afya wana discourage vyoo vya kukaa kwa madai kwamba ukikaa sigmoid colon na rectum vinakuwa horizontal,hivyo kimba halitoki kwa uzuri na kubakisha mabaki mabaki kila unapoenda kujisaidia,hali hii huenda ikapelekea some problems on the long run

   
 10. Q

  Qadhi JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  rb3.gif
  Seven Advantages of Squatting
  1.Makes elimination faster, easier and more complete. This helps prevent "fecal stagnation," a prime factor in colon cancer, appendicitis and inflammatory bowel disease.
  1.Protects the nerves that control the prostate, bladder and uterus from becoming stretched and damaged.
  2.Securely seals the ileocecal valve, between the colon and the small intestine. In the conventional sitting position, this valve is unsupported and often leaks during evacuation, contaminating the small intestine.
  3.Relaxes the puborectalis muscle which normally chokes the rectum in order to maintain continence.
  4.Uses the thighs to support the colon and prevent straining. Chronic straining on the toilet can cause hernias, diverticulosis, and pelvic organ prolapse.
  5.A highly effective, non-invasive treatment for hemorrhoids, as shown by published clinical research.
  6.For pregnant women, squatting avoids pressure on the uterus when using the toilet. Daily squatting helps prepare one for a more natural delivery.
  colon9.gif
  sitting%20vs%20squatting.gif

  Source
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mkuu Kadhi nimekusoma.

  Ila sasa hili chaguo la vyoo ni ukiwa kwako, ukiwa kwa watu huo uhuru haupo, inabidi tu uvumilie.
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  E bana ee, hii picha inanikumbusha kadhia moja..Tulikuwa tunakata maji na jamaa zangu kwene kahoteli flani hivi huko kijijini, sasa baada ya kupiga raundi kadhaa bila kupima gauge ya pombemeter nikauliza simu twapiga wapi? Nikaoneshwa kamlango kako upstairs..

  Cha msingi nilisavaivu ila nimejifunza ukitaka kula ulabu kwa starehe, anza kwanza kuuliza kilipo kibanda cha simu mapema!
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  hicho choo sio user friendly kwa nini basi uweke kwako?:twitch:
   
 14. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  haiwezekani choo kiwe juu hivyo bwana, sasa nani atakitumia? ila kama umezeidiwa utapata tu means ya kufika hapo in time!
   
 15. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Safi kabisa,,yaani ukifika hapo kileleni,,,, ukaanza ile shughuli,,kisha unawasha na fegi,,,aisee ngoja nichukue huu mchoro,,
   
 16. Q

  Qadhi JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii kitu most probably ipo kwa military base....aidha kwa recruit wanajeshi ama kwa mateso kwa wana mess nao.Nakumbuka kuna kambi moja kule home,ukienda kukata mti au kupita katika maeneo bila shughuli maalum.Wanakuuliza,kitu gani kimekufanya uje hapa,wengi walikuwa wanajibu ...njaa afande.

  Wanakwambia ok kama ni njaa,wanakupa ugali(dah..nime u miss sana ugali jamani)mkubwa sana then mboga wanaweka juu ya mti,maji ya kunywa wanaweka mbali sana.Yaani hadi ukimaliza ule ugali mwanangu,kama utamaliza basi,hauna hamu tena ya kukanyaga eneo hilo.

  So,huwezi jua,labda ukisema umebanwa na haja,huenda wakakupeleka kwenye hiyo kitu halafu wanakupa dk kadhaa tu utoke,sasa sijui kama utafika hapo juu.
   
 17. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,842
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 280
  Oosh! lazima ujiulize kwanini kiwe juu hivyo? Vyoo kama hivi vipo vingi sana Dar, sababu kubwa ni urahisi wa kufungulia uchafu nyakati za mvua. Dar imekosa mfumo makini wa taka maji (liquid waste/sewer system) imewalazimu wakazi kuwa wabunifu na hii ni sehemu ya ubunifu.

  Hata hivyo ni hatari kwa afya ya wanajiji wote, but maybe is their only best option.
   
 18. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kiko poa sana kwa wale wanaovizia kudoae vyoo vya jirani
   
Loading...