Hii michezo mingine balaa tupu!!!!!!!

Status
Not open for further replies.

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
PICTURES.jpg
 
hiyo ni FOTOSHOP wandugu. Kama ni kweli jamaa aliyeharishiwa hatacheza tena contact sport.:mmph:
 
Vyovyote iwavyo najaribu kufikiria huyo jamaa aliyehara ni kwamba aliweka mzigo mpaka muda wa tukio au ni ajali tu?? vinginevyo jamaa alikuwa na ana matatizo ya tumbo na mara mambo yakawa hayo.....Mhhh!!:whistle:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom