Pres. Obama at G-20 Meeting

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Akiwa na my waifu wake, First Lady Michelle Obama

27062010194310.jpg
 
huyuu mama jamanii chibokoo kwa kupendezaaaaa, anajua kuvaaaa..mr presidaa hiyoo tai ndo ile ya nov 8,2008 pale chicago park au???
 
26062010184521.jpg



"Mzee hukupiga kiwi leo asubihi?" Obama akamuuliza Sarkozy

26062010184330.jpg


 
Kuna moja jamaa wanachek boli kwenye Tv, bila shaka walikuwa wanachek jinsi Asamoh Gyan alivyowaumiza.
 
Back
Top Bottom