Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Huyu ndo mrembo wetu wa kutufungia wiki
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Simpatii picha Mh Mrema akiwa na Lowassa. Sijui walikuwa wanaongea nini, but viatu vya mrema, mh! sijui alitaka kumechisha?
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kama ni wewe unaingia toilet alafu ndo unakuta hivi utafanyeje
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Ajali ajali si pikipiki,baisikeli magari na hata watu.jana bungeni kulikuwa na ajali wizara ya nishati na madini.nini kifanyike?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi*ni*bongo*tu*au*hata*kwingineko*duniani*ma*lecturer*na*wanafunzi*huwa*ni*mshike*mshike? ATTACH=CONFIG]34106[/ATTACH]
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Huko ulaya mambo ndo yanazidi kuongezeka ,ndege ,vyombo vinavyokwenda anga za juu,magari/treni za umeme na sasa magari yanayopaa.sisi tunabaki kuruka na ungo na kwenda samunge badala ya kufanya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kweli ulevi raha!!
2 Reactions
34 Replies
12K Views
Mhandisi Mkuu wa Uendeshaji kutoka kituo cha kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mtera, Julius Chomolla akitoa maelezo kuhusu kipimo cha kuonyesha maji yamejaa katika eneo hilo. Katika kiuto...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wadada na Wamama wa kibongo, Ingeni mfano wa wazee wetu - Upendo huu ni wa kufa na kuzikana, hapa mama winnie hana kinyongo kaenda kumpa Congra. Mzee mwezake na mume wake wa kwanza Nelson, ili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kampuni ya Terrafugia huko Marekani imebuni gari linaloweza kuruka,kupambana na foleni barabarani,gari hilo lenye kuhitaji mita 518 kwa ajili ya kuchukua kasi ya kuruka!
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Makalio ya kichina (ya kijani na ya rangi ya udongo)! Ha ha ha, najua umekliki ukiwa na mawazo machafu. Safari hii imekula kwako!
4 Reactions
20 Replies
14K Views
Tazameni miguu ya Monique hiyo. Je swali ni kunyoa au kutonyoa. Wanaume mwasemaje hapa?
0 Reactions
55 Replies
9K Views
  • Closed
Mwanzilishi wa Mtandao wa Jamii Forums, Maxence Melo (kulia) na Mmoja wa wasaidizi wake, Bahati Chande wakiwa pamoja na top 3 ya Miss Universe usiku huu. JamiiForums walikuwa wadhamini katika...
11 Reactions
82 Replies
13K Views
Kwa sasa ninauwezo wa kutoa kuku 1000(broiler) kila baada ya wiki tatu.naomba mnisaidie kwa mwenye soko la jumla ila asiwe dalali tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
New Al Jazeera Swahili Studios…. Hii ndio studio mpya amabyo inajengwa hivi sasa Jijini Nairobi tayari kwa kurusha matangazo yake kwa lugha ya kiswahili ambapo Tido Mhando ndiye atakayekuwa...
8 Reactions
66 Replies
10K Views
Ni Katika Uwanja wa Rwandanzovwe Jijini Mbeya!Mie Mkweche nasema maandamano ni haki ya Kila Chama Cha Siasa na Si Kubezana!
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Nyangumi Source Dailymail
3 Reactions
30 Replies
6K Views
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Benard Membe akiwa na waombolezaji katika msiba wa marehemu Sekou Toure ( CRDB Lumumba branch boss) nyumbani kwa marehemnu mtoni mtongani...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Back
Top Bottom