in addition to-black koti-black surualikamechi aisee,- white kofia- white shirt- white shoes
Katoka ki-kiraracha kabisa.in addition to-black koti-black suruali
wagonjwa wa kisukari wanashauriwa kuvaaa raba from medical chemberhalafu na tai kaweka kabisa, tai na raba daah
sijakuelewa. wanapa ushauri huo kutoka medical chamber au wanashauriwa wavae raba wakiwa wametoka medical chamber? Na inakuwa na msaada gani? Tuelimishane!
Wagonjwa wa kisukari wanashauriwa wavae viatu vipana na vilaini (kama sandals au raba) ili kulinda miguu yao isipate m'bano ambao unaweza sababisha michubuko..kwani hiyo inaweza pelekea kupata maambukizi ya bakteria (hasa gram -ve) na kupata vidonda sugu (ulcers) au hata condition inaitwa 'cellulitis', na mara kadhaa imepelekea wengi wao kupoteza viungo (kukatwa mguu, vidole) kwa sababu ya 'gangrene'.
Pamoja na hilo, mheshimiwa amejitahidi kumatch'isha' na kupendeza...
Simpatii picha Mh Mrema akiwa na Lowassa. Sijui walikuwa wanaongea nini, but viatu vya mrema, mh! sijui alitaka kumechisha?
View attachment 34084