Mjengo atakao kuwa anapiga mzigo .... Tido mhando....magamba...kwishney na tbc yao!

SAWEBOY

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
241
173
New Al Jazeera Swahili Studios….

Hii ndio studio mpya amabyo inajengwa hivi sasa Jijini Nairobi tayari kwa kurusha matangazo yake kwa lugha ya kiswahili ambapo Tido Mhando ndiye atakayekuwa msimamizi mkuu! .....Magamba na TBC yao.... kwishney....! habari ndo hiyooooo wana JF! cheki mjengo hapo down!!


Under Construction: An Al Jazeera News Studio

Already a number of Swahili News Presenters and Reporters are readying themselves for the interviews and set tentatively for August/September 2011.
 
Safi sanaaa.....ushauri wa makamba kwa jk wamfukuze Tido haikuwa sawa hata kidogo,sidhani kama EL angekuwa PM wangemfukuza!!!riziki zatoka juu.....
 
Safi san Tirdo Muhando Waliochangia kufukuzwa kwake wajifunze waliyoyafanya sio mazuri ndo hivyo walimpia teke chura!!!!
 
Harafu tukija tunalalama eti watalaam wanakimbia nchi...wanaenda Ulaya au nchi za ng'ambo... Kuumbe viongozi wetu ndo wanawakatisha tamaa. Wapo wasomi wengi wa Kitanzania nchi za nje wenye uwezo wa kubadirisha nchi lakini ikija kwenye mambo kama yaliyompata kaka Mhando...wanasita hata kufikiria kurudi nyumbani.... HONGERA sana TIDO endelea kuwa wazi na kufichua maovu ya viongozi wetu hata hapo utakapoingia ili dunia ijue.
 
duh huo mstudio nomaaaaaaa hivi na ule wa tbc magamba upo hivi hivi kweli? nijuzeni wadau!
 
Tatizo MAGAMBA wanachezea Professional za watu, Walimtoa BBC amewazeshea RTD naTVT ya hadi ikapata mashiko ni Professinal tu ILIYO mpeleka ALJAZILAR watu ambao hutangaza pasi uoga " TIDO wa wa wa wa wa !!!!!! "
 
huwa tunasema kila jambo lina makusudi yake. Mungu aliona Tido hatumii professional yake 100% thus akafungua njia nyingine ambayo imemwezesha kufika kwenye chombo huru aljazeera though devil himself akamtumia makamba kumwondosha visivyo ndugu yetu Tido pale TBC. Naisubiri kwa hamu saaana hiyo aljazera ule utamu wote wa bbc swahili tutaupata through aljazeera magamba kwisnhneeeeei
 
mkataba kati ya TBC na tido ulifia kikomo na wala hajafukuzwa kazi bali mkataba uliisha na swala la kuongeza mkataba ni kazi ya muajiri hebu tujadili mambo kisayansi na siyo kama tupo kwenye mabaraza ya kahawa na club za pombe.....happy weekend wadau
 
Hongera TIdo Mhando kwa kukataa kutawaliwa na mafisadi wa hapa TZ na kudumisha utu wako.....................
 
New Al Jazeera Swahili Studios….

Hii ndio studio mpya amabyo inajengwa hivi sasa Jijini Nairobi tayari kwa kurusha matangazo yake kwa lugha ya kiswahili ambapo Tido Mhando ndiye atakayekuwa msimamizi mkuu! .....Magamba na TBC yao.... kwishney....! habari ndo hiyooooo wana JF! cheki mjengo hapo down!!


Under Construction: An Al Jazeera News Studio

Already a number of Swahili News Presenters and Reporters are readying themselves for the interviews and set tentatively for August/September 2011.

Ni vizuri sana, lkn Tido amekipata cha moto wa CCM alimfagilia sana Chikwete akiwa BBC kabla ya kugombea na wakati wa Kampaini za 05. Leo wameona hana deal naye ajifunze na liwe funzo kwa akina Kibonde, na wengine waliopo TBC, Uhuru, Clauds, wakina Juma Nkamia

Ujue waandishi wengi wamekuwa MALAYA wa kujipendekeza kwa bwn wao CCM. Wakooooooooooome. Mi ntasema ukweli daima, Tido hakuwa mzuri kivileeee!
 
Du.ameula maana hao Al Jazeera wapo juu sana! wache watalaam wetu waende huko nje wanakothaminiwa zaidi!
 
Kila siku tunajisifia eti tumeweza kuwaita wawekezaji,kumbe wengi ni wasanii wawekezaji wa kweli wanaelekea NRB,kuna kitu cha kujifunza hapa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom