Una wageni wengi sana nyumbani kwako?thiss ad solution...soma carefully | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Una wageni wengi sana nyumbani kwako?thiss ad solution...soma carefully

Discussion in 'Jamii Photos' started by Saint Ivuga, Jul 16, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  lol! umenikumbusha mbali sana mkuu! mgeni siku ya kumi kwa mateke na magumi!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  hahah bibie hapo umeenda mabli sana
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  mkuu nilikuwa naimba hizi tenzi kumi kwa kichwa yaani! wakati ule akili haijachakachuka! angalia hiyo kitabu page inayofuata ndo inasema hivyo,na kapicha flani mgeni anatupiwa kakifurushi ka kijijini
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Hiki si kitabu kinaitwa someni kwa furaha?........Ivuga una visa wewe.....weka basi kurasa za Bulicheka tujikumbushe
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  hahah wewe dada yangu ni kichwa kweli kweli... yaani umekumbuka page za hiki kitabu,, hahahah !! wewe ni mkali aisee
   
 7. bht

  bht JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  aisee haka kakitabu nilikuwa nikikasoma huku nina njaa, na imagine sahani ya mchele...lol!
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  bila shaka.. nyie mabinti ni wa uwkeli vibaya sana.. mna kumbukumbu kiasi hiki? kuna kisa cha kalumakenge nimeshakiweka kule.. kila baada ya mwaka mmoja nitakuwa naweka page moja . hahah
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  hahaah, halafu leo ndo nashangaa kuwa utenzi wa kwanza ni mchele na PANZA, sio PANZI. basi nikawa na imagine panzi kwenye kifuu kama itakuwa ka-delicacy flani vile kama makange au nyama choma,lol. ngoja nikamsake kalumekenge manake dah!
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  sasa huo ni uchoyo....yaani kila mwaka mara moja.....aaaah bana....weka tuwakumbuke kina huihui na kabila lao la wagagagigikoko, na kile kijumba cha Bulicheka alichokijenga kwenye ile minazi minne kwa kutumia meza.....nilikuwa nikisoma hii natamani kweli niwe mimi....dah....those days
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  bht, saa hiyo una njaa, umechafukaa! ukiwaza huo mchele na panzi,hahaha! kama nakuona
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  hata mimi ndio nimeshtukia kuwa ni panza.....watu tulikuwa tunalazimisha kuwa ni panzi....hivi panza itakuwa ni nini?
   
 13. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kinaitwa Buricheka, Haaaaaah!
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  mke wa huihui alikuwa lizabeth eeh? nilikuwa namtamania anavyopanda merikebu,lol! those days unakaa una-imagine the world out there!
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Jamani Paul....ni Buricheka au Bulicheka?.....na huyu si alikuwa mmoja wa mastar ndani ya hicho kitabu?......au niesahau?
   
 16. bht

  bht JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  King'asti kama ulikuwepo....yaani navuta tu muda wa kwenda hm ufike! Nibebe kibegi changu huyoo, nikifika hm hamna mchele wala nn, sembe tu....Mweeh old good days!Afu kuna kimoja aliwekaga Companero hapa cha Juma Na Roza...
   
 17. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wageni wa siku hizi wakikuta TV kwako wanasogeza mbele siku za kukaa! Tena kama ndo unatabia ya kuwatoa out ndo kabisa, na wakienda watasimuliana huko na kundi jingine linatia timu!
   
 18. bht

  bht JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Hujasahau mwanakwetu, kitabu kinaitwa someni kwa furaha, na Bulicheka alikuwa character mkuu mule.
   
 19. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Elizabeth alikuwa mke wa Bulicheka.....walipokuwa wanasafiri(sikumbuki walikuwa wanaenda wapi) merikebu ikapata dhoruba ndio wakashtukia wametokezea kwenye kisiwa cha wagagagigikoko na mfalme wao ndio alikuwa anaitwa huihui (sijui kama nimekumbuka vizuri)
   
 20. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mgeni gani anakaa siku 10? huyo mwenyeji mpe orodha ya vifaa vya ndani achangie gharama. hataki akakae hotel. tehe tehe.
   
Loading...