Dahhhh!Vyoo vingine bwana!!!!!!

Dahhhh!Vyoo vingine bwana!!!!!!

Daffi Jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
3,824
Reaction score
909
Kama ni wewe unaingia toilet alafu ndo unakuta hivi utafanyeje
 
Attachments

  • toilet.jpg
    toilet.jpg
    14.6 KB · Views: 677
Huyu jamaa kapakwa chokaa na kuigiza huoni baada ya toilet seat hamna kinachoendelea kwa chini yaani njia ya choo.
 
Huyu jamaa kapakwa chokaa na kuigiza huoni baada ya toilet seat hamna kinachoendelea kwa chini yaani njia ya choo.
Jamaa wala hajapakwa chokaa,check vizuri kule ikulu ndo tundu lenyewe la choo
 
duh hapo mtihani haja inaweza ikarudi yenyewe.
 
Alafu mlangoni pameandikwa KE, haraka haraka demu anaweza kushtuka kwa kuogopa kuukalia mhogo.
 
Jamaa wala hajapakwa chokaa,check vizuri kule ikulu ndo tundu lenyewe la choo
Una maana JK anaishi uko? hizi lugha zenu zitawafikisha pabaya,kumtusi kiongozi wa nchi si busara hata kidogo
 
Hiki choo lazima kiwe ni cha malaya wa huko ulaya haijalishi ni wa kike au wa kiume wote watakuwa wanakitumia kifupi ni cha danguro,haiwezekani kwa watu wazima na akili zao kutumia choo kama hiki kama na wewe siyo changudoa.
 
Mh hizi creativity zingine! Sasa ukikaa unamkalia mkaka! Bora niubane tu kitaeleweka mbele ya safari!
 
Afadhali KE kama Ni ME ni hatari zaidi, Ukikaa jamaa anakupumulia nyuma, Ahh Wapi meeeen!!!!
 
Afadhali KE kama Ni ME ni hatari zaidi, Ukikaa jamaa anakupumulia nyuma, Ahh Wapi meeeen!!!!
Unakuta vyote vimejengwa hivyo for ke na for me!utafanyeje!ukimwangalia msela n km mtu tu aliyepigwa chokaa!
 
Na kama umezidiwa sana bora uende tu porini kuliko choo hicho!

Mtoa mada inaelekea hii toilet ni ya kina mama au wale jamaa wengine (kina anti mudy) so fanya utafiti tuone men's ikoje ili tufanye maamuzi sahihi unaona katavi alivyo tishika hadi anataka kwenda haribu mazingira porini!!!
 
Back
Top Bottom