Kina Dada....nyoweni ama msinyowe nd'o swali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kina Dada....nyoweni ama msinyowe nd'o swali?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ab-Titchaz, Jan 21, 2010.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Tazameni miguu ya Monique hiyo. Je swali ni kunyoa au kutonyoa.

  Wanaume mwasemaje hapa?


  [​IMG]


  [​IMG]
   
 2. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kama miguuni hivi, huko "kwenye maungio" si itakuwa rasta?...
   
 3. m

  madule Senior Member

  #3
  Jan 21, 2010
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hehehehheh, ngoshwe vipi salama?
   
 4. annamaria

  annamaria Senior Member

  #4
  Jan 21, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hirsutism hiyo haivutii!Atafute underlying cause na ayanyoe hayo manywele!
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Cave-woman.
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Inategemea tu how comfortable she is with her looks. Mi binafsi sioni tatizo akiachilia nature ichukue mkondo wake.. :D
   
 7. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  duuuh atakuwa kajisahau kwamba hakunyoa miguu hapo.
   
 8. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ....Haina hata haja ya kunyoa, dawa yake ni kuvaa vimini/short pants nywele zote zitapotea.
  Ukiwa mzoefu wa kuvaa nguo ndefu lazima uwe na nywele kama hizi, tena sio kwa wanawake tu hata wanaume hutokea nywele kama hizi.
  Hii hutokea hata kwenye mikono kama unapenda kuvaa nguo za long sleeve.
   
 9. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #9
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Mkuu Arsene Wenger,

  Sio eti kajisahau, kasema mwenyewe she doesnt believe in
  shaving her legs.

  Nenda hapa:

  http://www.huffingtonpost.com/2010/01/20/monique-goes-all-natural_n_429842.html
   
 10. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #10
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Dadangu Pretty,

  Sometimes hii ni genetics na huwezi kusema eti utavaa vimini na pants
  kisha ipotee.

  Swali langu ni kwa mfano tayari miguu ipo hivyo utanyoa kwanza ndo
  uanze kuvaa shorts na vimini ama utavaa tu...potelea mbali hata wakiona?
   
 11. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #11
  Jan 21, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Mwanamume weye naona humaindi kamwe. wewe ni mambo ya naturally tu.
  Hata kama ni kikwapa???...:D
   
 12. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ........Wala huna haja ya kunyoa unavaa tu, taratibu zitaanza kupotea japo hazitapotea zote ila itakuwa nafuu.
  Nilikuwa mpenzi wa kuangalia show ya huyu mama, inaitwa monique show lakini sikuwahi kumuona na nywele kama hizi miguuni. Nikija kuangalia tena nitamchunguza hii miguu yake.
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mwalimu kuna kitu wataalam wanaita daivesiti, ndio maana tumeumbwa tofauti ati na tastes zinapishana. Ila kimsingi (nasisitiza kimsingi) L,XL,XXL sio ma kap of kofi. :D
   
 14. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,418
  Likes Received: 81,463
  Trophy Points: 280
  Kuna baadhi ya wanaume wanapenda hali kama hiyo na hawataki kabisa yaondolewe...kipenda roho...
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jan 21, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Tafuta ile ya Erica Badu na kikwapa full of hair
   
 16. w

  wakumbuli Senior Member

  #16
  Jan 21, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  yap imetulia hiyo wakati wa kupapasa shwari,haina haja ya kunyoa
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  Jan 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  aaache tu jamani kwani nyie mkichezea hivyo vinyweleo mnajisikiaje?
   
 18. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  hii kweli kali jamni au anatafuta publicity maana miguu inatisha!
   
 19. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Yana RAHA yake hayo, huwezi jua mwenzi wake ana ya enjoy vipi? ni kama mwanaume utakkuta jamaa ana midevu mpaka unaona uchafu kumbe mke wake ndo kayazimikia kishenzi huyo hata kwa ACID hanyoi, so ni juu yake mwenyewe kuamua
   
 20. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #20
  Jan 21, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Teh teh teh! Ngoshwe nawe! Kawaida hiyo haifiki mapajani bwana, na ukipapasa inaleta raha fulani.
   
Loading...