Maxence Melo alivyo-shine ndani ya Miss Universe!

Status
Not open for further replies.

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
max.jpg


Mwanzilishi wa Mtandao wa Jamii Forums, Maxence Melo (kulia) na Mmoja wa wasaidizi wake, Bahati Chande wakiwa pamoja na top 3 ya Miss Universe usiku huu. JamiiForums walikuwa wadhamini katika mashindano haya

JF-banner.jpg

Banner nyingine ya JF siku ya tukio
 

Attachments

  • max.jpg
    max.jpg
    63.4 KB · Views: 1,278
Hongera JF kwa kuwa moja ya wadhamini wa Miss Universe, ni kati ya michango mizuri katika jamii
 
Maxence hahahaha hizi ni dalili tosha za infidelity whatch out & in.
 
Max big up my broda! naona hapo bango la Jamiiforums hiyo ndo inayotakiwa!!!
 
Angalia kiongozi wengine ni wana JF hapo ila hujui ID zao tu hivyo wapo na boss wao sasa wasije wakakuchakachua tu tehe tehe.
 
hivi miss universe lazima awe light skinned?manake kuna warembo safii hapo black beauty hawakushinda

Mhhhhh! una macho mazuri sana katika kuchagua warembo.
Huyu mama Sarungi huwa namwamini miaka yote lakini mwaka huu kachemsha,huyu Nelly ana maskendo kibao na haishi kuandikwa kwenye magazeti kwa habari mbaya toka ashiriki miss Tanzania miaka 2 ilopita baadhi yakiwa umalaya,usagaji.ulevi wa kupindukia,picha za ngono e.t.c mwaka huu tunalo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom