Natafuta soko la kuku wa kisasa(broiler) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta soko la kuku wa kisasa(broiler)

Discussion in 'Jamii Photos' started by Jaydean, Jul 10, 2011.

 1. J

  Jaydean Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa ninauwezo wa kutoa kuku 1000(broiler) kila baada ya wiki tatu.naomba mnisaidie kwa mwenye soko la jumla ila asiwe dalali tafadhali.
   
 2. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Before I commented I had to see your status! Its JF junior member. This is Jamii photos friend
   
 3. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Baada yawiki 3 ? hupati mtu hapa mambo ya kulishana kuku wa ARV hapana.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Unapatikana wapi?
   
 5. J

  Jaydean Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ninaposema baada ya wiki tatu maana yake ni kwamba,ninamabanda matatu ambayo yanakuwa na kuku kwa kupishana,la kwanza wiki mbili ndio naingiza wengine 1000 kwenye banda lingine na hawa wakifika wiki mbili naingiza wengine banda lingine au kuwapishanisha kwa njia hiyo, na sivyo unavyofikira wewe,hope umenielewa ndugu yangu
   
Loading...