Mabinti*vyuoni,*ni*balaa

Lutter

Member
Dec 23, 2008
78
47
Hivi*ni*bongo*tu*au*hata*kwingineko*duniani*ma*lecturer*na*wanafunzi*huwa*ni*mshike*mshike?
ATTACH=CONFIG]34106[/ATTACH]
 

Attachments

  • katuni itv 30 june and 1 july 2011.jpg
    katuni itv 30 june and 1 july 2011.jpg
    216.3 KB · Views: 937
Kinachowaponza dada zetu ni marks za chupi. Hawapendi kuchakalika na kitabu badala yake wanategemea miili yao katika kupasi mitihani.
 
Wao wenyewe wadada na wanawake kwa ujumla wanapenda kuwezeshwa ili waweze!
 
Kinachowaponza dada zetu ni marks za chupi. Hawapendi kuchakalika na kitabu badala yake wanategemea miili yao katika kupasi mitihani.
Halafu baadae wanaajiriwa TANESCO, wanakosa ubunifu, nchi inafunikwa na giza, politicians wanapandisha mapepo au tuseme mashetani na kuzozana wakitoa mamipovu midomoni bila kujua waanzie wapi maskini na kuishia wapi.
 
Back
Top Bottom