Hivi ndivyo ilivokuwa kwenye maandamano ya ccm mbeya katika picha!

MKWECHE

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
299
64
Ni Katika Uwanja wa Rwandanzovwe Jijini Mbeya!Mie Mkweche nasema maandamano ni haki ya Kila Chama Cha Siasa na Si Kubezana!

Mbeya 1.JPG Mbeya 2.JPG
 
Shida ni maandamano yanayofanywa kwa malipo,kwani dhamira ya mwandamanaji haipo ktk maandamano husika.
 
nape na group lake hawaoni aibu kwenda mbele ya wananchi na hali hii ya ukata wa maisha bidhaa kupanda bei na tatizo sugu la umeme?
 
CCM wanaugua ugonjwa mbaya sana-uwongo. Kusomba watu kila kona ya Mbeya ni kujinganya. Na ukitaka kujua hili angalia rangi za nguo. wote kijani. Watu wameswagwa kama wanyama ili tu camera ijaye! Ballot box 2015 haswagwi mtu.
 
Hao wote wamesombwa kutoka wilaya za kyela, chunya, tukuyu na mbozi na malori na mabasi yamefadhiliwa na wafanya biashara wakubwa wa mbeya
 
Siombei hili- lakini utasikia kuwa Watu waliokuwa wanatoka kwenye mkutano wa CCM wajeruhiwa kilomita 80 kutoka Mbeya mjini baada ya lori walilokuwa wanasafiria kushindwa kupanda mlima... narudia siombei hilo litokee...
 
mbona huwa wanacheka CHADEMA kuandamani imekuwaje na huyo mjomba 6 ni kinara wa kucheka maandamano kumbe yana sumu
 
nahisi tayari kampeni za 2015 zimeanza hako kakundi kalikokuwa huko mby mmmmh! sikaamini kabsa. six kasema kabsaa nchii ilitakiwa iwe inauza umeme na si kuwa na mgao. kasema wakubali kabsaa walikosea kwenye mikataba ndo njia sahihi ya kujirekebishs
 
Vipi Shibuda alikuwepo? Huyu jamaa amekuwa mzigo kwa MAKAMANDA WAPIGANAJI. Kila mara tunaomba aondoke chamani. But I have observed that his days are numbered!
 
Yaani nchi hii mimi hata siielewei inaelekea wapi hwa chama cha magamba wanadiriki kuwakusanya wananchi na kuwaaandamanisha huku wakiacha kazi za kulijenga taifa kweli hawa jamaa hawana huruma kabisa
 
Naomba kuuliza tu, i am just curius, mbona wengi wana obesity kuna tatizo gani?, na njaa yote tanzania, kuna watu wako so obesed hivi, du kweli ccm wanachekesha almost 90% ya viongozi wa ccm wana obesity, au wanaugua magonjwa yanayoletwa ni ubwanyeye
 
Lengo la maandamano ni kuelezea umma MAANA YA MAAMUZI MAGUMU-Kwa mujibu wa clip ya TBC news usiku huu.

Kumbe bado wanaendelea kujisafisha mbele ya watz? Magamba hutolewa kwenye samaki aliyekufa na kama yuko hai atakufa tu, labda watoe machache sana na mengi yabaki.
Nyoka akijivua gamba anakuwa "nyoka mwenye ari, nguvu na kas zaidi" but it will never change to something different.
 
Wanaandamana kwa ajili gani tena? Wanalalamika kwa sababu chadema wapo madarakani na hawafanyikazi zao? Kweli kuna wananchi waliowendawazimu mbeya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom