Gari linaloruka

Jidu

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,232
754
Kampuni ya Terrafugia huko Marekani imebuni gari linaloweza kuruka,kupambana na foleni barabarani,gari hilo lenye kuhitaji mita 518 kwa ajili ya kuchukua kasi ya kuruka!

GARI2.jpg
GARI 1.jpg

GARI 3.jpg

GARI 5.jpg
GARI 8.jpg
 
Attachments

  • GARI 4.jpg
    GARI 4.jpg
    6.5 KB · Views: 77
Sasa kama linaruka hewani kwa nini liendelee kuitwa gari na siyo ndege?

Usafirishaji wake utasimamiwa na sheria za anga au sheria za barabarani?
Kwa mtaji huu hata matrafiki wanaopenda kitu kidogo barabarani hawapati kitu hapa.
 
kwa nchi yetu hii ya TZ ni mambo ya kufikirika tu....Mlo mmoja tu Nanga inapaaaaaaaaaaa..........................
 
Sasa kama linaruka hewani kwa nini liendelee kuitwa gari na siyo ndege?

Usafirishaji wake utasimamiwa na sheria za anga au sheria za barabarani?
Kwa mtaji huu hata matrafiki wanaopenda kitu kidogo barabarani hawapati kitu hapa.

Hiyo siyo gari, gari hairuki
 
Ma-engineer kiboko! Scientists investigate that which already is;Engineers create that which has never been.
 
Really good! I like such kind of development, what are we Tanzanians doing? We actually no part of this world, may be we are a dream, possibly a nightmare!
 
wakati wenzetu wanagundua magari yapaayo wacha sisi tuwe tunajadili kukuza kiwango chetu cha soka na kukabiliana nafoleni na matatizo ya umeme
 
mbona yakiwa mengi jam angani itakua balaa? Mbora yasifike huku kwetu kwa sababu hizo ajali zitatisha zaidi.
 
Sipati picha linapohitaji kutua halafu hakuna pa kutua magar yamejaa bara2n?
Ni kama lile la James Bond, litakuwa na uwezo wa kutanuka na kusinyaa kwahiyo usihofu likitua kwenye msongamano lina sinyaa halafu linapita katikati yao.
 
Sasa kama linaruka hewani kwa nini liendelee kuitwa gari na siyo ndege?

Usafirishaji wake utasimamiwa na sheria za anga au sheria za barabarani?
Kwa mtaji huu hata matrafiki wanaopenda kitu kidogo barabarani hawapati kitu hapa.

itabidi liitwe gari ndege maana hata ndege nayo haiwezi tembea barabarani kama gari.
kazi itakuwa ni kuanzisha kitengo cha trafiki wa anga.
 
Sasa kama linaruka hewani kwa nini liendelee kuitwa gari na siyo ndege?

Usafirishaji wake utasimamiwa na sheria za anga au sheria za barabarani?
Kwa mtaji huu hata matrafiki wanaopenda kitu kidogo barabarani hawapati kitu hapa.

Umenifurahisha sana Makoye!
 
Back
Top Bottom