Wakuu hii ni aibu ati mkuu wa nchi anakwenda kufungua kidaraja kama hicho???
JK na ujumbe wake na wenyeji wakipita juu ya daraja jipya la Mtombozi, Matombo, Morogoro vijijini alilozindua.
Picha...
Awamu zilizopita walikuwa wakifanya ufisadi angalao wanyonge walikuwa wanaachiwa mabaki kidogo ila sasa hivi wanapiga mazima!Tazama uvaaji wa awamu hii ni wa kihuni zaidi pia ukiwakilisha upigaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.