Namuandaa mtu kisaikolojia

chongoe

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
1,122
2,714
Kila mtu na mtazamo wake
FB_IMG_16059858313541064.jpg
 
Hiyo umeamua we yeye Aweje!
Ili kujua yeye Atakuaje, hebu fanya hivi;
Muwekee vichezea vya aina aina mfano
Jembe, bunduki, tractor, simu,....
Ukiona kila siku anachezea kimojawapo kati ya hivyo, muendeleze ktk hicho kwa kumsaidia!
 
Hiyo umeamua we yeye Aweje!
Ili kujua yeye Atakuaje, hebu fanya hivi;
Muwekee vichezea vya aina sina mfano
Jembe, bunduki, tractor, simu,....
Ukiona kila siku anachezea kimojawapo kati ya hivyo, muendeleze ktk hicho kwa kumsaidia!
Ila kwa akili ya utoto hawezi kugusa jembe na tractor ataangalia vile vyepesi kushika simu,redio
 
Safi sana maana sahv watoto wengi wanakuambia wakikuwa wanataka wawe kama mabongofleva

Ova
 
Hiyo umeamua we yeye Aweje!
Ili kujua yeye Atakuaje, hebu fanya hivi;
Muwekee vichezea vya aina sina mfano
Jembe, bunduki, tractor, simu,....
Ukiona kila siku anachezea kimojawapo kati ya hivyo, muendeleze ktk hicho kwa kumsaidia!
Akichezea bunduki atamuendelezaje?
 
Ungefanya kama wasomali au waarab....unampa mtoto choices, unaweka mabomu ya kuvaa mwilini, hizo simu mbovu, spea za baiskeli na vinginevyo kisha unamwachia achezee yeye mwenyewe. Baada ya muda tu utaona anaelekea wapi.
 
Hivi ndivyo tulipaswa kuwakuza watoto wetu sema tumewajaza definitions za civics histor n.k
 
Back
Top Bottom