Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Awamu zilizopita walikuwa wakifanya ufisadi angalao wanyonge walikuwa wanaachiwa mabaki kidogo ila sasa hivi wanapiga mazima!Tazama uvaaji wa awamu hii ni wa kihuni zaidi pia ukiwakilisha upigaji hautakuwa wa utani wala wa mchezo mchezo.