Kwa msiomjua RC wa Mbeya, Chalamila ndio huyu (picha)

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Wengi ndio mnamsikia leo au mnamfaham tu huyu ndio RC wa Mbeya anayetoa matamko yenye utata
FB_IMG_15671105584043503.jpeg
 
Yaani mimi nikionaga mapoyoyo kama hawa nazidi tu kuwa na hasira dhidi ya Magufuli (japokuwa ni mtu ambaye namkubali vibaya mno) tatizo ni moja tu kwa nini analea lea watu wasio na aibu na staha (wapuuzi) kama huyu!? wamempa nini? Mheshimiwa rais hawa viongozi unawaokota wapi!? nchi hii inayosifika kwa ustaarabu wa amani na upendo ilipaswa serikali yake ijazwe viongozi wastaarabu tu kariba ya Balozi Possi
 
Baba na mwana
Yaani mimi nikionaga mapoyoyo kama hawa nazidi tu kuwa na hasira dhidi ya Magufuli (japokuwa ni mtu ambaye namkubali vibaya mno) tatizo ni moja tu kwanini analea lea watu wasio na aibu na staha(wapuuzi) kama huyu!?wamempa nini? Mheshimiwa raisi hawa viongozi unawaokota wapi!?,nchi hii inayosifika kwa ustaarabu wa amani na upendo ilipaswa serikali yake ijazwe viongozi wastaarabu tu kariba ya Balozi Possi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom