Watakaoumia ni wanyonge!

Watakaoumia ni wanyonge!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,923
Reaction score
95,765
Pale unapoambiwa kuwa ni Serikali inayojali wanyonge kumbe ni kinyume chake!
18901234.jpg
 
Muda tunahangaika waliokula Mil27 hawatawaza kitu
 
Mbona huyo mwanaume ni kama mzungu?
Mkubwa ambae alipewa dolari kadhaa na sasa akaleta jeuri huku akijua kwamba mwenye hisani ambae ni beberu akiamua kutoa adhabu, basi mkubwa atamgeuzia mtoto ambae ni mwananchi mnyonge ndio atakae umia kwa kipigo cha rungu atakacho kitoa beberu.
Hivyo basi kwa tafasiri ya haraka, mkubwa hajali adhabu yeyote itakayo tolewa na beberu.
 
Wanyonge wataumia lkn maccm yanakula raha tu na kucheka.... Inhiii😜😜
 
Mkubwa ambae alipewa dolari kadhaa na sasa akaleta jeuri huku akijua kwamba mwenye hisani ambae ni beberu akiamua kutoa adhabu, basi mkubwa atamgeuzia mtoto ambae ni mwananchi mnyonge ndio atakae umia kwa kipigo cha rungu atakacho kitoa beberu.
Hivyo basi kwa tafasiri ya haraka, mkubwa hajali adhabu yeyote itakayo tolewa na beberu.
Kweli kabisa, wakubwa wanajua wao hawataumia,nashangaa kuna majitu mambumbu yanamuunga mkono Kabudi.
 
Back
Top Bottom